Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani?
Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa Soka tunajiuliza ni kwanini Wewe anayekufunga na Kukutesa kila wakati tena Kwake ni huyo huyo na kwa idadi ile ile ya Magoli?