Kwanini tumekubali kurudi kwenye siasa za chuki? Mbona wananchi wanaishi kwa amani? Viongozi wana hofu gani?

Sawa ila Polisi wamenifurahisha Kwa kuwashikisha adabu,Sasa hivi wanaimba wimbo mmja hii hapa
Haitakusaidia chochote sisi tunataka tuwaachie Watoto wetu na Wajukuu Nchi ya Kidemokrasia na yenye kujali HAKI za BINADAMU.
 
Kutaka kuitisha maandamano ya vurugu Kwa nini? Polisi shikilieni hapo hapo Kwa sababu Chadema wamechoka na uhuru
Kwahiyo mtu akikamatwa uwanja wa ndege kafanya vurugu? Unamfungulia kesi gani? Si usubiri afanye vurugu ndipo umshtaki kwamba kafanya vurug? Yule aliyetamka kupoteza watu kule Kagera alishafunguliwa mashtaka? Aliyetangaza kwamba kura zina matokeo matatu alishaitwa kuhojiwa? Watu wa leo siyo wa mwaka 47.
 
Usijitoe ufahamu,alikuwa anaenda kuhamasisha nini? Polisi si iliwazuia wakasema wataenda Ili wakamatwe pamoja au?

Ndio wamekamatwa Tulieni Sasa.Mkaidi ......
 
Maovu ya viongozi ni mengi. Hivyo hawana amani!
 
Kutaka kuitisha maandamano ya vurugu Kwa nini? Polisi shikilieni hapo hapo Kwa sababu Chadema wamechoka na uhuru
Cdm hawana sababu ya kuwa makondoo. Makondoo wabaki mazombie wasiojitambua.
 
Usijitoe ufahamu,alikuwa anaenda kuhamasisha nini? Polisi si iliwazuia wakasema wataenda Ili wakamatwe pamoja au?

Ndio wamekamatwa Tulieni Sasa.Mkaidi ......
Polisi wanazuia haki za wananchi zilizoko kikatiba wao kama nani?
 
Polisi wanazuia haki za wananchi zilizoko kikatiba wao kama nani?
Haki za kutaka kuleta vurugu lazima zizuiliwe.

Pili raia wanaendelea na mishe zao ndio maana hawajihusishi na nyie wahuni
 
Haki za kutaka kuleta vurugu lazima zizuiliwe.

Pili raia wanaendelea na mishe zao ndio maana hawajihusishi na nyie wahuni
Kwani shughuli zote zinazofanywa na wengine wananchi wote huwa wanajihusisha nazo? Kuleta vurugu kwa tafsiri ya kiccm. Hizo siasa za kujinyenyekeza bakini nazo nyie mnaotegemea hisani za majizi ya kura.
 
Kwani na Zanzibar mikutano imezuiliwa? maza anaharibu amani ya bara sababu siyo kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…