Kwanini tumewaaminisha wanawake kwamba sisi tuna shida sana na mbususu

Bro hii ni natural hatuwezi kukwepa sisi wanaume kati ya tamaa na upendo yaan upendo ni 30% lakin tamaa ni 70% ...... na kwa kawaida tuuh ukimtongoza dem lazima cha kwanza umtamani ku sex nae swala la upendo linafuata ndo maana noa wanaringa na izo nyapu zao
........ napita tu @ unknown phylospher
 
Nimekusoma mkuu[emoji1666]
 
Dr criminal dawa ya njaa ni kula Mkuu ndio nature inavyotaka, si unaona jogoo zinakimbiza mitetea hadi juu ya mabati kisa kamkojo tu ka sekunde.

Mbwa anaweza akatorokahome hata mwezi kisa ni mbususu aliyoifuata mtaa wa nne huko akirudi ni mchafuu na kakondeana, hiyo yoteni mbususu tu ilikuwa inatafutwa.

Ukifanikiwa kuzikwepa mbususu umemkwepa shetani kwa 60%
 
Nakubali asee!!! [emoji3]
 
Hii mada ni nzuri sana. Ni kweli wanaume wengi wanajirahisisha kwa wanawake na kutumia nguvu nyingi (fedha +muda) kuwapata.

Ili kutoka kwenye huu utumwa unatakiwa ujitambue. Jua thamani yako..tongoza strategically...siyo kwa pupa. Usiwe kwenye uhusiano wenye masharti....
 
Watakuja wazee tu ila sio hawa ma slay queen na walivyo na njaa ndio kabisa.
 
Aseme mwenyewe mara ngapi? Acha ujunga kula mbususu hiyo.
 
Sure thing mkuu
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…