Kwanini tumewaaminisha wanawake kwamba sisi tuna shida sana na mbususu

Shida hapa kuna wanaume wanatuaibisha sana yaani, unakuta kwenye simu ya mwanamke kachati tofauti na stori zake pia tofauti. Ila all in all mwenye pesa/tajiri anafaidi hawa viumbe no matter what.
 
Mpka akuombe 😂😂Don’t lower your ego
 
Shida hapa kuna wanaume wanatuaibisha sana yaani, unakuta kwenye simu ya mwanamke kachati tofauti na stori zake pia tofauti. Ila all in all mwenye pesa/tajiri anafaidi hawa viumbe no matter what.
Kuna mazezeta wachache ndo wamepekelekea wanaume tunateseka

Hata ujiangalia movie wanatuonyesha Kwamba mwanamke ni mtu wakunyenyekewa
 
Sahihi,
Wanaume tunafeli san wengi wetu tunakuwa dhaifu sana kwa wanawake ndomana wanatusumbua

UKITAKA KUWAPATA MADEMU KIURAHISI BASI ACHA KUWASHOBOKEA, FATA MAMBO YAKO WATAKUJA WENYEW TU
Iko hivo chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…