Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya hapo tulikuwa tunaamini mazindiko..Hizo dini zimekuja na meli, kabla ya hapo walikuwa wanaabudu nini?
Hukumu ya watenda dhambi inaanzia hapa hapa duniani kabla hujafika ahera.Kama unabisha jaribu kubaka uone..Baada ya kudanganywa kuna moto wa milele baada ya kifo kama hutaamini. Tulidanganyika, mimi sidanganyiki, naamini ninachokiamini tangu zama za mababu
Hao dini zao zilitangulia kabla ya Ukristo na uislamu na wakazishika dini zao, huwezi kuwabadirisha.Tupe kwanza tafsiri ya neno DINI ndio tuamini ni jambo zuri...!
Mbona Mchina, Muhindi, Mkorea n.k
awaabudu dini uliyoletewa na Mkoloni na maisha yanaendelea..?
TrueMzee 74 , uliambiwa na mmisonary kwamba kuna ahera wewe kwa kutumia common sense kuna ahera kweli? Ni Mungu gani anaandaa moto wa kuchoma watoto wake? Labda huyu anaeabudiwa kwa kutumia vinyago. Kila mtu na imani yake kumfikia muumba wake
Kwa sababu hata wao waliletewa hizo dini,kabla ya hapo nao walikuwa na imani zao mbalimbali kama tulizokuwa nazo sie na ambazo zengine bado zipo.Ndio maana ni kauliza kwanini sie tumezing'ang'ania hizi madhehebu ya wazungu na waarabu?
Tatizo mie huwa najiuliza na hao mababu zetu hizo imani nao walizitoa wapi? Maana wengine wanaishia tu kusema imani za mababu zetu na hawajiulizi zaidi ya hapo,maana kama kila mtu angekuwa ameng'ang'ania imani za mababu zake basi pengine hata kusingekuwa na ukristo,uislamu wala ubuddha.Baada ya kudanganywa kuna moto wa milele baada ya kifo kama hutaamini. Tulidanganyika, mimi sidanganyiki, naamini ninachokiamini tangu zama za mababu
Kuna kitu cha mzungu ambacho hukiamini? Nitajie viwili....Babu zako kabla ya ukoloni walikuwa wanaabudu wapi?
mkuu umeongea mambo makubwa na ya msingi sana,kuliko yeyote hapa,naunga mkono hoja zako kwenye hili kwa 100%Dini za mzungu na mwarabu ilikuwa mbinu ya kumpata mwafrika, kumrubuni na kumfanya awe chini yake. Katika hilo hawa jamaa wamefanikiwa kwa asilimia zote.
Hili limefanya hata uwezo wa mwafrika kuchanganua mambo ukawa mdogo (i'm not sure zamani walikuwa na uwezo kiasi gani lakini hakika uwezo wetu umeshuka sana). Nenda makanisani utaona jinsi akili zetu zilivyokamatwa.
Hata hivyo, the existence of God we're worshipping is fictional, if he existed at all, the world wouldn't be such a terrible place, people wouldn't be suffering, death wouldn't be, famine, diseases etc.
Kama hizo dini na wao wanazo huko kwao ina maana hawakukuletea wewe kama kitu kibaya,ingekuwa hivyo basi wasingekuwa nazo pia.Wakati wa ukoloni na utumwa, hawa watu walitupatia elimu mbovu, walitupatia malazi na mavazi mabaya, walitupatia chakula kibovu, walituibia malighafi nyingi kwa udanganyifu
Bila kusahau madhila mengi waliyotufanyia kama vile watumwa wa kiume kuhasiwa na wengine kuuwawa kwa kutupwa porini na baharini.
Sasa swali linakuja, Je, kwa nini tunaamini walitupatia Dini nzuri? Kwamba mengine yote tunaona na tunakubaliana kuwa walitufanyia mabaya na ya kikatili, halaf Dini pekee ndio kitu pekee kizuri waliyotufanyia?
"During slavery and colonial, they didn't give us good education, good housing, good clothes or good food, what makes you think that they gave us GOOD RELIGION?
Nitajie manabii wawili wazungu unaowafahamu mkuuKama hizo dini na wao wanazo huko kwao ina maana hawakukuletea wewe kama kitu kibaya,ingekuwa hivyo basi wasingekuwa nazo pia.
Mkuu maovu(dhambi) hata bila hayo madhehebu jamii inayapinga na haiyataki, halaf mkuu mbona machafuko na mitafaruku mingi imesababishwa na hizo dini au hilo hulioni?Hukumu ya watenda dhambi inaanzia hapa hapa duniani kabla hujafika ahera.Kama unabisha jaribu kubaka uone..
Vitu vingi anavyotuletea mzungu huku Africa either havifai au vina madharaKuna kitu cha mzungu ambacho hukiamini? Nitajie viwili....
Nani kakuletea dini? Utamaduni wenu nimeacha na mmevamia Utamaduni wa magharibi, madawa/tiba is European technology, hiyo simu unayotumia ya mzungu....Vitu vingi anavyotuletea mzungu huku Africa either havifai au vina madhara
1.utamaduni
2.dini
4.madawa /kemikali
5.vifaa vya kieknologia
Angalia hii pia [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 791204View attachment 791206