Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Simu nayotumia ni ya mchina mkuuNani kakuletea dini? Utamaduni wenu nimeacha na mmevamia Utamaduni wa magharibi, madawa/tiba is European technology, hiyo simu unayotumia ya mzungu....
[emoji13] [emoji13] [emoji85] [emoji85] all the same... Ndo huko hukoSimu nayotumia ni ya mchina mkuu
Siwafahamu manabii wazungu mkuu.Nitajie manabii wawili wazungu unaowafahamu mkuu
Ndiyo maana nasema haya ni masuala ya imani kila mtu ana uhuru wa kufuata anapoona panafaa,sasa zikianza mada za sijui kuna imani za kigeni kutoka kwa waarabu na wazungu basi pia lazima wengine tuanze kujiuliza pia mababu zetu imani zao walizitoa wapi nao?Hata wao hawajui zimetoka wapi lakini wanaziheshimu. Na wewe heshima hizo imani za mababu kama vipi chochote unachoamini hata kama ni mlima. Hata atheist ana anachoamini
Wazee wetu wangekuwa nao na dini yao basi hata baada ya ukoloni leo hii nasi tungebaki na dini yetu kama ilivyofanyika sehemu zengine.Walikuwa wanaabudu chini ya mti ulioteuliwa na wazee wa mila au mlima. Wazungu wakaona ni ujinga tukakubali. Vitu viwili nisivyovipenda vya wazungu ni Ukristu na ukoloni Mamboleo. Nimejibu swali lako Irokos
Mambo mengine ukihoji sana utajikuta umetoka nje ya Box[emoji23]
Hivi mkuu haujui kuwa kuna jukwaa LA dini.Wakati wa ukoloni na utumwa, hawa watu walitupatia elimu mbovu, walitupatia malazi na mavazi mabaya, walitupatia chakula kibovu, walituibia malighafi nyingi kwa udanganyifu
Bila kusahau madhila mengi waliyotufanyia kama vile watumwa wa kiume kuhasiwa na wengine kuuwawa kwa kutupwa porini na baharini.
Sasa swali linakuja, Je, kwa nini tunaamini walitupatia Dini nzuri? Kwamba mengine yote tunaona na tunakubaliana kuwa walitufanyia mabaya na ya kikatili, halaf Dini pekee ndio kitu pekee kizuri waliyotufanyia?
"During slavery and colonial, they didn't give us good education, good housing, good clothes or good food, what makes you think that they gave us GOOD RELIGION?
Hapana kamanda.Mitafuruko ni michache kulinganisha na faida.Viongozi wa dini wanafanya kazi nzuri ya kutukumbusha kuishi kwa maadili.Dini zote zinafanya kazi nzuri isipokuwa chache kama Free mason.Mkuu maovu(dhambi) hata bila hayo madhehebu jamii inayapinga na haiyataki, halaf mkuu mbona machafuko na mitafaruku mingi imesababishwa na hizo dini au hilo hulioni?
Kwani Freemason ni dini?Hapana kamanda.Mitafuruko ni michache kulinganisha na faida.Viongozi wa dini wanafanya kazi nzuri ya kutukupungusha kuishi kwa maadili.Dini zote zinafanya kazi nzuri isipokuwa chache kama Free mason.
Unatoka nje ya box.Dini zote za kiislamu ,kikristu na kihindi zinakemea maovu na kusisitiza matendo mema na utu.Hata kama si dini zetu za asili ila zinatusaidia katika kukumbusha maadili.Kwani Freemason ni dini?
Unajua freemason wanafanyaga nin?au unaongelea hearsay
he heh he he ...ngoja aje ""...Kwani Freemason ni dini?
Unajua freemason wanafanyaga nin?au unaongelea hearsay
Sina access na huko mkuuHivi mkuu haujui kuwa kuna jukwaa LA dini.