JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Ukitaka kufunga GPS tracker kwenye chombo chako mathalani gari....
Weka mezani lengo la kufunga tracker kwenye gari lako.
1. Je unahitaji kufunga tracker kwa ajili ya kufatilia mizunguko ya gari lako?
2. Au unahitaji tracker ya kukupa update ya location gari lako likiibiwa?
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya swali la kwanza na swali la pili. Hebu tuendelee utanielewa.
Watu wengi wanafunga GPS kwenye magari yao ili wayapate kiurahisi ikitokea siku yameibiwa. Lakini kwa bahati mbaya wanafunga aina za GPS ambazo zina monitor mizunguko ya gari.
Aina hii ya GPS siyo mbaya ila ina weakness moja. Hiyo GPS tracker inakuwa online full time au muda ambao gari linatembea hivyo ni rahisi kuwa detected kwa mtu mwenye vifaa vya kutambua uwepo wa trackers au wireless devices zozote.
Hiki ni mojawapo ya vifaa ambavyo vinaweza kutumika kutambua uwepo wa GPS tracker kwenye gari fulani.
Kwa kifaa hicho mtu anaweza kutambua GPS trackers zote ambazo zipo Online na kuzilocate kwa muda mfupi sana hata kama zipo 20.
Lakini hii haimaanishi kwamba watu wasifunge GPS trackers kwenye magari yao. Kwa sababu siyo kila anayeiba gari anaweza kuwa na uelewa mkubwa juu ya mambo ya GPS trackers. Hivyo bado kunaweza kuwa na Chances za kuipata gari yako.
Aina ya Pili ya GPS, I think hii ni nzuri zaidi. Na kama mtu anafikiria kufunga GPS zaidi ya moja kwenye gari yake basi hii GPS ndio GPS ya kuongezea.
What IF ukafunga GPS tracker ambayo inawaka inaupdate location halafu inajizima kulingana na muda uliouset wewe mwenyewe?
Kwa maana mtu akiiba gari akatrace kama kuna gps tracker kwa kutumia GPS detector hatanote kama kuna GPS tracker imefungwa kwenye gari hiyo labda tu kama atatrace muda ambao ndio tu hiyo GPS imewaka, ambapo probability ni ndogo sana.
Pia GPS tracker kama hizi za kuwaka na kuzima unaweza kuwa nazo zaidi ya moja ambapo zinawaka na kuzima kwa interval tofauti tofauti.
Inaweza kuwaka Ndani ya dakika moja tu ikawa imeshaupdate location na kujizima.
Hii imekaaje?
Mwisho
Kwa mahitaji ya GPS trackers.
Diagnosis na Repairs za matatizo ya gari lako.
Na mengine mengi. Tuwasiliane
0621 221 606
Nipo Dar.