Kwanini tunampongeza na kumsifia hata sisi wafuasi wa Vyama pinzani?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,

Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.

Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .

Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani, Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.

Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.

Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa. Akikosea tutamkosoa, sisi wapinzani sio wanafiki.

Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,

Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.

Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.

Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
 
Naona T Lisu, Msigwa ,G Lema wamejipa kazi ya MATAGA na kusahau kuwa wao ni viongozi wa chadema.

Sasa hivi ni mwendo wa kusifia CCM tu ,bila kujua SAMIA ni rais wa CCM na anatekeleza ilani ya CCM.

Ni SAMIA tena mpaka 2035
 
Mie ni Chadema damu damu lakini KAMWE sitaona aibu yoyote kumpongeza Mama yetu pale atakapofanya mazuri na kumkosoa pale atakapovurunda.
Mama hata mwezi hajamaliza lakini tayari tunasikia kauli zenye utofauti mkubwa sana na zile za dhalimu jiwe. Mwenyezi Mungu ashukuriwe 🙏🏾
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,

Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.

Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .

Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani,
Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.

Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.

Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa.
Akikosea tutamkosoa,sisi wapinzani sio wanafiki.

Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,
Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.

Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.

Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
 
"Ukiona adui yangu ameanza kunipa sifa za kutosha, ujue tayari NIMEWASALITI."

Ila Madame bwana, Eti tutanzinguana[emoji23]
 
Kibabu kinafurahia hotuba ya Mama hahahahahaha
1617715185709.png
 
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kumsifia Mama kwa sababu bado anaongoza nchi kwa kutumia zile sheria kandamizi za Magufuli.Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa maneno matamu na ahadi za matumaini.Kuongoza nchi kwa maneno matamu na ahadi za matumaini wakati sheria ni mbovu na kandamizi hilo huwa ni changa la macho!
 
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,

Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.

Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .

Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani,
Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.

Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.

Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa.
Akikosea tutamkosoa,sisi wapinzani sio wanafiki.

Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,
Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.

Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.

Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
Anatekeleza ilani yetu na maono yetu kwa asilimia 110
 
Ila Samia amekuja na upepo
 
Nyie ni bendera fuata upepo!
Hapana Chief, nadhani baadhi tena wengi wao CCM ndio bendera fuata upepo na wanafiki, hembu angalia jinsi wanavyoanza kumgeuka JPM, anzia na Kigwangala halafu jipe muda utasikia jinsi JPM atakavyoonekana hakuwa kitu zaidi ya Ukanda, rejea ya Jakaya Kikwete.
 
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,

Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.

Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .

Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani,
Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.

Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.

Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa.
Akikosea tutamkosoa,sisi wapinzani sio wanafiki.

Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,
Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.

Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.

Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
Imeisha hiyo jombaa
 
Back
Top Bottom