lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kweli kabisa, maana jamaa walijua kunyanyasa watu, sasa bado vifutu kama vitatu hivi, hivyo akiviponda vichwa, Dah! ni kama maeneo waliyopo Wananchi watajiona wapeta UHURU.Nazidi kumpongeza kwa kuwa anazidi kuyaondoa mahinterahamwe yoote
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.
Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .
Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani,
Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.
Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.
Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa.
Akikosea tutamkosoa,sisi wapinzani sio wanafiki.
Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,
Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.
Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.
Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
Nyie ni bendera fuata upepo!
Tungefuata upepo tusingempinga Yule dhalimuNyie ni bendera fuata upepo!
Kama unaona wivu tukimpongeza Rais jinyongeNyie ni bendera fuata upepo!
Anatekeleza ilani yetu na maono yetu kwa asilimia 110Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.
Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .
Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani,
Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.
Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.
Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa.
Akikosea tutamkosoa,sisi wapinzani sio wanafiki.
Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,
Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.
Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.
Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
Ila Samia amekuja na upepoMtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,

Hapana Chief, nadhani baadhi tena wengi wao CCM ndio bendera fuata upepo na wanafiki, hembu angalia jinsi wanavyoanza kumgeuka JPM, anzia na Kigwangala halafu jipe muda utasikia jinsi JPM atakavyoonekana hakuwa kitu zaidi ya Ukanda, rejea ya Jakaya Kikwete.Nyie ni bendera fuata upepo!
Imeisha hiyo jombaaMtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,