Habari wakuu
Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao(japo wengi hawataki kujionesha), angali kipindi cha kutaka kuoa huwa
Kuoa mke ni kuelewana hakunaga wife material.
Ndio maana ukifuata formula unateseka ila ukioa mwanamke uliyemridhia nisawa.
Kuna utofauti wa wife material na mwanadada uliyemridhia how.
1. Mwanadada uliyemridhia niyule ambae akiwepo you feel complite without any complain.
Ila lazima,ajue kupika hicho ndicho cha muhimu na kingine mapenziii.
Mwanaume lazima aridhike na mwanadada kwenye hili suala.
2. Wife material ni yule ambaye umejiwekea ukachuja .
Mwanamke hachujwi sio machicha ya nazi.
Mwanamke anaridhiwa na mwanaume.
Basiii.
Hii humfanya mwanaume afurahie ndoa.
Ila,cha wife material never. Unajidanganya yena ukimwoa mtu kwa hiari yake na yako ni sawa.
Zamani mwanaume anaanza chini hadi juu anaoa leo mnachuja ndio maana,shida mnazipata ndani.
Hujachuja mtu ila tabia,zake na,alivyo.
Ila wakuridhia ni yule ambaye sio tabia tu bali ni mtu husika.
So wife material ni umeoa tabia na jinsi anavyojiweka kwako i hope nimeeleweka.