jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Sema kimeumana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae hamsikilizi! Hakuna anayetaka kuoa mwanamke msaliti au malaya! Hamna mwanaume hataki mwanamke mwenye hofu ya mungu. Wanawake wenye hizi sifs wapo miongoni mwenu.. Jaribu kuuliza hizi sifa katika wanaume 10 kama kuna hata mmoja atazikataa!Vigezo vya wife material huwa sio generic kwa wanaume wote, ni subjective kutokana na taste ya mtu. Mwanamke anaweza kuwa wife material kwako ila kwa mwemzio sio. Sasa unapocopy kwa mwanaume mwenzio labda kwa kuangalia jinsi ana amani na furaha kwenye ndoa akiwa na mwanamke mwenye vigezo fulani, hapo ndo utajikuta unaoa wife material wa mwezio na sio wako na mwisho wa siku lazima utaona ndoa ni ngumu.
Wapo wengi sana sema vilaza hawajui kutofautisha na wanatumia pesa kuoa wanawake ambao hawawafiti vizuri mwisho incompatibilities zinawatoa nishai 😂😂😂😂akunaga wife matereal
Ushasema boy! Kinachowaponza ni tamaa ya hongo 😂😂😂 mkiacha njaa mtaolewa na Men!Unaweza ukaoa wife material lkn boy akawa haendan na material ya wife wake. Wife mlokole boy kutwa bar unadhan mbungi itakua ya kitoto humo ndan[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari wakuu
Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao(japo wengi hawataki kujionesha), angali kipindi cha kutaka kuoa huwa
Duuh masheria yote ayo mbona utatest wengi 😂😂Kuoa ni hivi unaoa yule mtu ambaye first sight umeridhika called you have admire someone.
Achaa siunazako?Duuh masheria yote ayo mbona utatest wengi 😂😂
Cha kuongezea huu ndo ukweli yani uko stamped sema mahusband materials wataupita kama vle hawauoni. Nasema hivi Mungu ameweka sheria na kanuni ambazo zinatakiwa kufuatwa sasa pale ambapo sheria hazifuatwi huwezi kumkuta Mungu ndani ya ndoa.Tatizo yenu mnasema hayana kanuni wakti huyo mungu mnaemuomba alishaweka kanuni.
Kanuni namba moja ni simple...no kulana mbususu kabla ya ndoa.
Kanuni namba mbili...mume ampende mke wake kama anavyojipenda mwenyewe.
Kanuni namba tatu. ...mke amuheshimu mume wake.
Ha haaa,aisee,kumbe.Ngoja nisubiri pako,usijerudi humuWife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae ha
Zima gari kabisa usipaki tuHa haaa,aisee,kumbe.Ngoja nisubiri pako,usijerudi humu
Umeandika as if ndo wote inatakiwa wote tufate ivo mkuu. Hujasema kua huyo ni wewe pekee. Izo "unatakiwa" "inatakiwa" ni jumuishi.Achaa siunazako??
Wife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae hamsikilizi! Hakuna anayetaka kuoa mwanamke msaliti au malaya! Hamna mwanaume hataki mwanamke mwenye hofu ya mungu. Wanawake wenye hizi
Mana formula nyingi sana muda wa kuchagua🤣Why u say that
Mangi amesema hana jei F ila atatumia pm yangu kupokelea malipoKunywa soda kwa mangi halafu mpatie mangi ID yangu nimlipe[emoji1787]