Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?


Unaweza kutana na huyo unayeamini ni wife material lakini asikufae sababu sio mke wako....sio mke sahihi kwako.

Unaweza unampenda sana lakini unakuta yeye hakufeel vile, ila amekukubali sababu ya ushawishi wako au vitu ulivyonavyo

Naamini ndoa nyingi zinazodumu sio zile ambazo wanandoa hawana mapungufu ila ni zile ambazo mna mahusiano ya kuhitajiana sawasawa na wote wawili mna hisia za upendo ambazo mnaamini hamzipati pengine
 
Hamna pepa ngumu duniani kama kutafuta wife au husband material, ukikosea hapa unakuwa ushajitengenezea kajehanam kako hapa hapa duniani.
 
Hamna pepa ngumu duniani kama kutafuta wife au husband material,ukikosea hapa unakuwa ushajitengenezea kajehanam kako hapa hapa duniani.

Anza wewe mwenyewe kuwa hiyo material bila kujiongopea kabla hujatafuta material

Wapo watu ndoa zao ni paradiso sio sababu wako perfect ila sababu wako wakweli baina yao
 
Utaoaje mtu humpendi lakini? Sikukushauri mimi uoe
 
Reactions: BAK
Anza wewe mwenyewe kuwa hiyo material bila kujiongopea kabla hujatafuta material

Wapo watu ndoa zao ni paradiso sio sababu wako perfect ila sababu wako wakweli baina yao
Hata ukianza ww kulia huyo utakaye mpata atakuwa wife material? Halafu kama hujui watu walio tulia (husband/ wife material)wanaongoza kupata wenza vimeo we chunguza.
 

Usimuoe mtoto wa watu kama humpendi. Utamtesa bure na wewe mwenyewe utateseka..... Ukimuoa utajikuta umeanza kutafuta michepuko yenye chura na sura zilizojazwa makeups ukiwa hanemuni wewe

Mwache atapata anayempenda alivyo na wewe utakutana na package yako yenye sura unayoipenda na chura huko mbeleni
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ukiangalia uzuri wa nje bila shaka Ndoa lazima iwe na majanga.
 
Kuna binti nimempenda, nafsi yangu inamridhia kabisa na nahisi hatia nikimpoteza…. nataka nimpe ndoa bila kumchunguza.

Mbele kwa mbele.[emoji1614][emoji276]
 
Sex

Hata ukioa mtu perfecto ila kama sex life yenu ni mbovu basi ni lazima ndoa iwe na misukosuko
Hao bora uwaga sex kwao wanaona km adhabu kwa hiyo tunawaoa then tunawatafutia msaidizi wa kuhakikisha Sex is available

Manungaembe yanajua kutimiza hitaji mhm la mwanaume
 
Sex ni tendo ambalo ili liwe zuri akili lazima utulie, sasa ukipata nunga yembe hiyo akili itatulia mda gani.
 
Umegonga penyewe sasa swali je viumbe sie wazito kuweza?
Amin amin nakwambia ni rahisi tajiri kuuona ufalme wa Mungu kuliko viumbe wazito kujikana nafsi na kuacha uzinzi aka tendo kabla ya ndoa aka purity!!!!
Hapo ndio tatizo linapo anzia watu hawatak kuukana uzinz na Kama wanashindwa Basi hawatoweza kukaa katika ndoa kwa Aman mpaka mwisho wa dunia unaingia
 
Wife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae
Jibu swali sasa kwanini pamoja na kuwaoa hao wife materials bado wanaume wengi wanateseka kwa ndoa zao
 
Sex ni tendo ambalo ili liwe zuri akili lazima utulie, sasa ukipata nunga yembe hiyo akili itatulia mda gani.
Sasa huyo akili iliyotulia yupo kama sasa yako,kazubaaaaa

Nungaembe linakuwa linawaza sex mda wote sema linakuwa na kiburi na dharau hivyo huwezi muweka ndani
 
Sasa huyo akili iliyotulia yupo kama sasa yako,kazubaaaaa

Nungaembe linakuwa linawaza sex mda wote sema linakuwa na kiburi na dharau hivyo huwezi muweka ndani
Tofautisha kati ya kutulia na kuzubaa. Akili ikitulia ina msaidia mwanaume kufocus kwenye shughuli zake za kutafuta hela kwa ajili ya familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…