Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

"Mahindi yanasagwa kwenye mashine ya kisagia mahindi na sio mashine ya kukoboa mpunga"
Kwaiyo kuona hao "wife material" hakukufanyi kuwa na ndoa ya furaha na bora kama ww mwenyewe haujaamua kuwa mme bora kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…