Kwanini tunapenda kuigana?

Kwanini tunapenda kuigana?

Waingereza wana msemo wao mmoja "imitation is the sincerest form of flattery".

Mimi nina tatizo tofauti kidogo na wewe, sitaki kuonekana naiga.

Halafu jirani zangu huwa kama wananijua nataka kufanya nini.

Kuna wakati nilikuwa nataka kununua Range Rover Evoque,nikasema Evoque imekaa kama mtu mwenye kibiongo, ninunue Sport. He, ile najikusanya kusanya na kuangalia reviews, jirani yangu mmoja si akanunua Range Rover Sport!

Nikasem asinunui tena, nikinunua itakuwa kama naiga.

Akahama.

Akahamia mwingine.

Akawa na Mercedes Benz SUV.

Nikasema mimi nitanunua ya tofauti, sedan.

Sijakaa vizuri boyfriend wake akawa anakuja na Mercedes Benz AMG 65.

Nikasema isiwe tabu, nakwenda kivingine, tusifanane kabisa.

Nikaishia na BMW X5.

Sasa hivi naona kuna jamaa mwingine naye ana BMW X5, najikusanya niende na Porsche Macan maana naona ndiyo gari ambayo mtaani hakuna.

Damn homie...

You ain’t cop that Macan yet?

I thought you did a couple years ago....[emoji2]
 
Aight...aight.

So what’s it gon’ be?

Straight cash [emoji383]? Financing? Or leasing?
I don't like the mileage restrictions on leasing, plus I'm an ownership freak.

I once considered straight cash, on account of getting a better deal. But it's not that big of a difference considering the many ways that type of G's can be flipped otherwise.

I may consider financing, with a steep downpayment.

But right now I am loving how my X5 handles, so no hurry at all. I need to put a couple miles on it before the next (well justified) indulgement.

You only live once.
 
Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.

Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?
Personally I hate uniformity..... Ila kuna watu hawapitwi na fasheni... Nakumbuka enzi za Afro (sio Shiraz party), raizon mpaka kibwenzi na kiduku, mashati ya Juliana (meusi yakiwa na picha kubwa ya TAI), chirmen, chachacha, mchelemchele, savco jeans, Biotec trousers Dah! Fasheni ya chaser mayai, Mark II , balloon mpaka hiyo mi breviss ya sasa
 
Labda tujiulize, je kiwanda huwa kinaproduce copy moja tu if not a special requests? Mathalani ukienda kwenye maduka makubwa kama H&M, Gap, etc utakuta copy moja tu ya product? Vitu vingi vinafanana kwa sababu kiwanda kikiproduce copy moja (if not a special request) je kitaweza kweli kujiendesha? Lakini pia umekwenda kununua shati ukakuta yametundikwa mengi sana sasa kesho unakuta na mtu mwingine kalivaa are you going to be supervised? Tuchukulie hata mobile phones je Samsung, iPhone, HTC, etc je utashangaa kuona jirani anayo kama yako ilhali madukani zimejaa. Vile vile kuna mfanano kwa sababu ya upatikanaji wa vitu eneo husika. Kama design flani ndio ipo kwenye maduka na ndio inatrend kwenye fashion na soko lazima hata wauzaji walete kwa wingi.
 
Umemsoma vizuri mwanzisha mada lakini?
 
Personally I hate uniformity..... Ila kuna watu hawapitwi na fasheni... Nakumbuka enzi za Afro (sio Shiraz party), raizon mpaka kibwenzi na kiduku, mashati ya Juliana (meusi yakiwa na picha kubwa ya TAI), chirmen, chachacha, mchelemchele, savco jeans, Biotec trousers Dah! Fasheni ya chaser mayai, Mark II , balloon mpaka hiyo mi breviss ya sasa
Nimekusoma.
 
Labda tujiulize, je kiwanda huwa kinaproduce copy moja tu if not a special requests? Mathalani ukienda kwenye maduka makubwa kama H&M, Gap, etc utakuta copy moja tu ya product? Vitu vingi vinafanana kwa sababu kiwanda kikiproduce copy moja (if not a special request) je kitaweza kweli kujiendesha? Lakini pia umekwenda kununua shati ukakuta yametundikwa mengi sana sasa kesho unakuta na mtu mwingine kalivaa are you going to be supervised? Tuchukulie hata mobile phones je Samsung, iPhone, HTC, etc je utashangaa kuona jirani anayo kama yako ilhali madukani zimejaa. Vile vile kuna mfanano kwa sababu ya upatikanaji wa vitu eneo husika. Kama design flani ndio ipo kwenye maduka na ndio inatrend kwenye fashion na soko lazima hata wauzaji walete kwa wingi.
Aisee....common sense is not very common. Sawa ngoja nikupe mfano rahisi.
1.Nimeenda kununua viatu naenda kazini nakutana na mtu amevaa same shoes, kanunua anaoopajua kwa muda wake,SIZUNGUMZII
SCENARIO HII.
2.Nimenunua shati naenda kazini nakutana na jamaa ofisi moja ananiuliza umenunua duka gani kesho ananunua same shirt wiki inayofuata tunaingia ofisini tumevaa same shirt kila kitu, HIKI NDIO NAZUNGUMZIA,honestly nitaligawa hilo shati.
 
This is my positive spin on it.

In full disclosure, I gotta be honest that at some point copycatting used to bother me. It used to annoy me big time.

But then I came to the realization that if you truly want your ‘own’ things then you might as well move to an island all by yourself and make everything for yourself that nobody else has.

Ha! Well...how about that now?!

So I changed my opinion on it. Now I don’t look at it as negatively as I did.

Now I take it as affirmation of my style, my taste, and my swag.

That they dig it and they wanna be like me. Nothing wrong with it, whatsoever.

If anything it’s gonna make me be more creative so I can maintain my ‘uniqueness’ [for lack of a better word].

So copy me all you want. It’s flattering.....
I concur wit u
 
Back
Top Bottom