Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,273
Siyo mwaka huu pekee, Wasukuma ndiyo wameshakalia Throne for EverWasukuma mwaka huu tutakoma.
Soma signature yako kwanzaNot in TZ.
Teh te..Hizo ni mashine..Normana bratan..Kak ti pajivaesh?Mkuu tutafute Lada, au tununue Kamaz za kubebea mizigo. Как ты братан?
Then soma na ya kwanguYou believe in OTHERS.
What's your views?So that proves Wasukuma have taken over for ever....?! Haya.
Haipendizi kuandika, ukisimuliwa kwa mdomo ndio utaelewa, maana utakuwa na maswali mengi ya kuuliza.[emoji6][emoji6][emoji6]Ebu niume sikio
Bebe nang'o.Siyo mwaka huu pekee, Wasukuma ndiyo wameshakalia Throne for Ever
Omalaga mamiBebe nang'o.
Lekagi mamihayo sagala babehi.
Galeho mamno gatatogwile gete mamihayo genago.
Kongono gakobizaga mamihayo ga kebi noo buchilochilo gete.
Hagayaa.
Unajua kuna Wasukuma wengi tu tumefunzwa hekima nzuri, kukaa na watu, kupenda mazuri n.k.Omalaga mami
DaaahHaipendizi kuandika, ukisimuliwa kwa mdomo ndio utaelewa, maana utakuwa na maswali mengi ya kuuliza.[emoji6][emoji6][emoji6]
Unaanzaje ku copy Personality ya mtu?Daaah
Bas sawa bbade
Ni aina fulani ya mental disability.Unaanzaje ku copy Personality ya mtu?
Yaani, halafu anafanya hivyo aweze kupata Compliments na kukubalika kwenye same jamii....Ni aina fulani ya mental disability.
Hao wengine inabidi unawaacha kwenye vumbi kwa style ya "iga ufe".Yaani, halafu anafanya hivyo aweze kupata Compliments na kukubalika kwenye same jamii....
Bora u copy ukafanyie huko mbali na sio kuonyeshana mashindano.
Sikatai kuiga lakini iga kwa akili na sio unaiga mpaka unaonekana kuwa unamwiga mtu Fulani.
Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?