Kwanini tunapenda kuigana?

Kwanini tunapenda kuigana?

Ni aina fulani ya mental disability.
Yaani, halafu anafanya hivyo aweze kupata Compliments na kukubalika kwenye same jamii....
Bora u copy ukafanyie huko mbali na sio kuonyeshana mashindano.

Sikatai kuiga lakini iga kwa akili na sio unaiga mpaka unaonekana kuwa unamwiga mtu Fulani.
 
Hao wengine inabidi unawaacha kwenye vumbi kwa style ya "iga ufe".
 
Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.

Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?

mimi mbona nilimuiga BADILI TABIA kuinunua hiyo......lakini hajalalamika.......?......
 
Back
Top Bottom