Kwanini tunapenda kuigana?

Hao wengine inabidi unawaacha kwenye vumbi kwa style ya "iga ufe".
Napenda kuwaambia ukweli, maana wengine ni watu wakaribu sana huwezi kuwafanyia mbaya....

Mara nyingi wanakuja kujitambua na kuacha au wanakuja kuumbuka....

Umeona wapi mtu wa take home 1M ana iga wa take home 4M? Akafanikiwa....baada ya mda anachoka anarudi kwenye uhalisia wake....

Kuna vitu vya kuiga ila vingine ni Ulimbukeni.

Hii kitu iko so deep, unajikuta unapiga story na mshikaji juu ya future dream yako, Mara unasikia anaisumulia kwa watu Kama yake vile na anaanza kuiishi....
Hapo wewe ndio unakuja kuonekana umemuiga....[emoji35][emoji35][emoji35]
 
ndio maana wanasema ukitaka kuendelea inatakiwa uzungukwe na wenye maendeleo,ukikaa na masikini ukitaka kufanikiwa tuu lazima wakuvute chini.kwa post yako inaonesha watu wanaiga vitu vizuri tuu iyo siyo mbaya.
 
Yaani, halafu anafanya hivyo aweze kupata Compliments na kukubalika kwenye same jamii....
Bora u copy ukafanyie huko mbali na sio kuonyeshana mashindano.

Sikatai kuiga lakini iga kwa akili na sio unaiga mpaka unaonekana kuwa unamwiga mtu Fulani.
Sema nini

Fanya mpango umsaidie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuiga huku lazima huugue kichaa.
 
Mtoa mada umekumbusha kitu, juzi kati nimenunua shati moja nikapiga nalo picha fb aisee... Wafanya kazi wenzangu wamesambaziana ile picha kila mtu anamuagizia ile nguo wakidai kwamba bongo hakuna. Mpaka wengine walinifata messenger, kuna mkuu wangu wa kazi alikua hajui natumia jina gani fb, kanijua kupitia hiyo nguo maana na yeye anaitaka yaani ishakua kama jezi za mpira sasa nataka nimpe mdogo wangu ninunue tofauti.
 
shomile bwana!! Mie sioni tatizo, tatizo kama angeiba, kumbe anakwenda kununua ya kwake!!!!!!
 
Vanguard ni wamama mzee,hapo umechemka
 
But right now I am loving how my X5 handles, so no hurry at all. I need to put a couple miles on it before the next (well justified) indulgement.

You only live once.

Is the screen retractable on the X5?
 
I mean, it’s alright I guess.

Though it’d be cool if it popped in and out like in some of the Audis...
For some reasons they are moving away from that. I guess the ones popping are more prone to damage. I understand even the new Audis are no longer popping if I am not mistaken.

A really conspicuous target for thieves if you frequent the hood for some reason (when Shaniqua calls hehehehe).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…