Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Hao wengine inabidi unawaacha kwenye vumbi kwa style ya "iga ufe".
uuuuuh woooow.....long time.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wengine inabidi unawaacha kwenye vumbi kwa style ya "iga ufe".
Projects za kufa mtu. Nimerudi.uuuuuh woooow.....long time.........
Napenda kuwaambia ukweli, maana wengine ni watu wakaribu sana huwezi kuwafanyia mbaya....Hao wengine inabidi unawaacha kwenye vumbi kwa style ya "iga ufe".
Sema niniYaani, halafu anafanya hivyo aweze kupata Compliments na kukubalika kwenye same jamii....
Bora u copy ukafanyie huko mbali na sio kuonyeshana mashindano.
Sikatai kuiga lakini iga kwa akili na sio unaiga mpaka unaonekana kuwa unamwiga mtu Fulani.
Bahati mbaya siwezi kumsaidia, Mbishii sana...unamwacha ajifunze mwenyewe.Sema nini
Fanya mpango umsaidie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napenda kuwaambia ukweli, maana wengine ni watu wakaribu sana huwezi kuwafanyia mbaya....
Mara nyingi wanakuja kujitambua na kuacha au wanakuja kuumbuka....
Umeona wapi mtu wa take home 1M ana iga wa take home 4M? Akafanikiwa....baada ya mda anachoka anarudi kwenye uhalisia wake....
Kuna vitu vya kuiga ila vingine ni Ulimbukeni.
Hii kitu iko so deep, unajikuta unapiga story na mshikaji juu ya future dream yako, Mara unasikia anaisumulia kwa watu Kama yake vile na anaanza kuiishi....
Hapo wewe ndio unakuja kuonekana umemuiga....[emoji35][emoji35][emoji35]
Dunia itamfunza.Bahati mbaya siwezi kumsaidia, Mbishii sana...unamwacha ajifunze mwenyewe.
Hahahaaa! Nyie mna tuzo.
[emoji28] [emoji125]Hahahaaa! Nyie mna tuzo.
Vanguard ni wamama mzee,hapo umechemkaUnamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?
But right now I am loving how my X5 handles, so no hurry at all. I need to put a couple miles on it before the next (well justified) indulgement.
You only live once.
It is always up, sucks right?Is the screen retractable on the X5?
It is always up, sucks right?
For some reasons they are moving away from that. I guess the ones popping are more prone to damage. I understand even the new Audis are no longer popping if I am not mistaken.I mean, it’s alright I guess.
Though it’d be cool if it popped in and out like in some of the Audis...