GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Muwapo katika Mabasi haya ya Mikoani Aibu zetu huwa zinaenda Likizo ya wapi?
Huwa nachagua siti za kushoto dirishani na huwaga sishuki kuchimba dawa.
Aibu haziendi likizo,huwa tunazisafirisha siku moja ama mbili kabla ya safari....yaani kama safari ni jumamosi,inabidi aibu zisafiri alhamisi ama ijumaa
Baada ya hapo tukisafiri jumamosi tunakutana nazo tukifika tunakoenda
HoooKuna Mdada Mmoja nakumbuka wakati Mimi nakojoa Vichakani na Yeye akikojoa jirani yangu kabisa nilimsikia Akijamba kabisa huku akiusubiria Mjambo wake wote huishe na tuliporudi tena ndani ya Basi kuna muda Yeye huyo huyo aljimba tena kwa Awamu ya Pili na cha Kushangaza akaanza Kuwashtukia Abiria wengine mule huku akiwasema ila nilipogeuka na Kugonganisha nae Macho akanyamaza kwani bahati nzuri harufu ya Mjambo wake nilikuwa nimeshaukariri tokea tulipokuwa kule chini tukichimba dawa na nilikuwa na uhakika kuwa ni Yeye na nikataka ' nimchane ' ila nikamstahi tu. Cha Kushangaza Mdada huyo huyo Siku moja nilimbahatisha akiwa Mmoja wa ' Panelists ' katika ' Interview ' moja hivi hapa hapa Dar es Salaam nikabaki Kucheka tu baada ya Kuvuta Kumbukumbu.
Kuna Mdada Mmoja nakumbuka wakati Mimi nakojoa Vichakani na Yeye akikojoa jirani yangu kabisa nilimsikia Akijamba kabisa huku akiusubiria Mjambo wake wote huishe na tuliporudi tena ndani ya Basi kuna muda Yeye huyo huyo aljimba tena kwa Awamu ya Pili na cha Kushangaza akaanza Kuwashtukia Abiria wengine mule huku akiwasema ila nilipogeuka na Kugonganisha nae Macho akanyamaza kwani bahati nzuri harufu ya Mjambo wake nilikuwa nimeshaukariri tokea tulipokuwa kule chini tukichimba dawa na nilikuwa na uhakika kuwa ni Yeye na nikataka ' nimchane ' ila nikamstahi tu. Cha Kushangaza Mdada huyo huyo Siku moja nilimbahatisha akiwa Mmoja wa ' Panelists ' katika ' Interview ' moja hivi hapa hapa Dar es Salaam nikabaki Kucheka tu baada ya Kuvuta Kumbukumbu.
Una tatizo wewe si bure.Huwa nachagua siti za kushoto dirishani na huwaga sishuki kuchimba dawa.
Matatizo ni kwa ajili ya binadamu na vitu hata jiwe hupata tatizo linapochomoka kutoka Ardhi kuja juu likikutana na mbuyu on its way. Mi nani nisiwe na tatizoUna tatizo wewe si bure.
sawa poti nimekuelewaKwahiyo huwa unakojolea Dirishani au? Wewe utakuwa ni Muha kwani ndiyo mna huo Ushamba. Badilikeni Waha sawa?
Kuachwa na gari acha kabisa, ndiyo ukute hata nusu ya safari haijaisha, ukiangalia huku na kule unaona miti na ukitizama mbali zaidi unaona nyumba moja pekee ya bati,Hata wewe ukianza kuchimba dawa hutaona aibu na mkuyenge wako tena utakuwa unaukung'uta hadi unagusa mapaja kama mkia wa kondoo dume, wakati huo umekodolea gari ili usiachwe.
NB: Ukiyajua maumivu ya kuachwa na gari hutaona aibu kuchimba mizizi/dawa
Umenifundisha kitu.Huwa nachagua siti za kushoto dirishani na huwaga sishuki kuchimba dawa.
Una utani na kina poti siyo!Kwahiyo huwa unakojolea Dirishani au? Wewe utakuwa ni Muha kwani ndiyo mna huo Ushamba. Badilikeni Waha sawa?