GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, ni Saikolojia gani ambayo huwa ipo tu kwa Sisi Wanadamu ( Abiria ) hasa pale tuwapo Safari za Masafa marefu ambapo unaweza kukuta Abiria wa Kike tena ni Mrembo kabisa ( Sista Duu ) lakini wakati wa kujisaidia Haja Ndogo Vichakani ( Kuchimba Dawa ) huwa wanakuwa hawana Aibu ambapo huchojoa Nguo zake na Kuinama Kukojoa zake huku akikukodolea Wewe Mwanaume na kuna wakati anaweza hata Kukuambia Mwambie Dereva asiondoe Gari Kwanza namalizia Kukojoa.
Muwapo katika Mabasi haya ya Mikoani Aibu zetu huwa zinaenda Likizo ya wapi?
Muwapo katika Mabasi haya ya Mikoani Aibu zetu huwa zinaenda Likizo ya wapi?