MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile Kindondoni, kwa Kondo na Chang'ombe hakika ni mzaha mkubwa sana unafanyika, na hakuna cha kujifunza
Akili haikuishia hapo, nikatafakari namna tunavyoweka miji yetu kama vile Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Temeke, Tandika, Mbagala, Chamazi akili ikachoka kutafakari
Mimi nina maswali mawilii:
1. Je, tunao watu wa mipango miji?
2. Je, wapo hai au wamekwishanyongwa?