MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
- Thread starter
- #21
Mizimu ipangwe basiMakaburi yetu ni nyumba za mizimu
Mizimu ipangwe basiMakaburi yetu ni nyumba za mizimu
Tunakua na haraka haraka ya mambo kama vile goli la kwanzaMwafrika hajawahi kuwa na akili timamu za kufanya planning, ndio mambo mengi watu hufanya kwa kuiga iga toka kwa binadamu wanaojielewa.
Nafikiri pepo ya wazungu yaweza kuwa tofauti na ile ya waafrika, au unasemaje?Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile Kindondoni, kwa Kondo na Chang'ombe hakika ni mzaha mkubwa sana unafanyika, na hakuna cha kujifunza
Akili haikuishia hapo, nikatafakari namna tunavyoweka miji yetu kama vile Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Temeke, Tandika, Mbagala, Chamazi akili ikachoka kutafakari
Mimi nina maswali mawilii:
1. Je, tunao watu wa mipango miji?
2. Je, wapo hai au wamekwishanyongwa?
View attachment 3408709
Kazi ya wakuu wa mikoa na wilaya ni kula na 💩tuMatatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile Kindondoni, kwa Kondo na Chang'ombe hakika ni mzaha mkubwa sana unafanyika, na hakuna cha kujifunza
Akili haikuishia hapo, nikatafakari namna tunavyoweka miji yetu kama vile Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Temeke, Tandika, Mbagala, Chamazi akili ikachoka kutafakari
Mimi nina maswali mawilii:
1. Je, tunao watu wa mipango miji?
2. Je, wapo hai au wamekwishanyongwa?
View attachment 3408709
Huwezi kutambika au kuroga kwenye makaburi yaliyopangwaMizimu ipangwe basi
Heee kumbe wananunuaaga mkuuHivi Kwa nini watu wananunua makaburi Kinondoni na Kisutu be8 mbaya wakati tungeweza kuanzisha makaburi mapya?
Ujinga wa kawaida wa Fisiemu
Wanazalisha machawaKuna chuo cha mipango dodoma, pale sijui wanazalisha nini aisee
Pro maxWanazalisha machawa