MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Hivi Kwa nini watu wananunua makaburi Kinondoni na Kisutu be8 mbaya wakati tungeweza kuanzisha makaburi mapya?Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile Kindondoni, kwa Kondo na Chang'ombe hakika ni mzaha mkubwa sana unafanyika, na hakuna cha kujifunza
Akili haikuishia hapo, nikatafakari namna tunavyoweka miji yetu kama vile Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Temeke, Tandika, Mbagala, Chamazi akili ikachoka kutafakari
Mimi nina maswali mawilii:
1. Je tunao watu wa mipango miji?
2. Je wapo hai au wamekwishanyongwa?
Picha ya ibada au makaburi?Kapicha kidogo basi boss wetu
Kimsingi hawajawahi kufanya kazi yaoKiukweli Uwepo wa Mipango miji wetu hua inanitafakarisha Sana huoni sioni wanachokifanya Kiufupi kila kitu kipo holela
Tuseme tu mitano tena maana huko ndio tumewekezaMatatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile Kindondoni, kwa Kondo na Chang'ombe hakika ni mzaha mkubwa sana unafanyika, na hakuna cha kujifunza
Akili haikuishia hapo, nikatafakari namna tunavyoweka miji yetu kama vile Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Temeke, Tandika, Mbagala, Chamazi akili ikachoka kutafakari
Mimi nina maswali mawilii:
1. Je tunao watu wa mipango miji?
2. Je wapo hai au wamekwishanyongwa?
Kwamba uchawa ni mwingi kuliko kaziTuseme tu mitano tena maana huko ndio tumewekeza
Na elimu yote hii ni ngumu kumtoa mtu mweusi kwenye asili yakeMtu mweusi hawanaga mipangilio mzur wa vitu,mfano naangaliaga nyumba za watu wa maisha ya kawaida ya watu wa ufilipino unakuta vitu ndani ya nyumba vimepangwa vizur sana tofaut na sisi ukitembelea vijijin huko ni vituko hasa kwa ndugu zetu wasukuma unakuta kajenga msauzi lakin humo ndani kilivyo ni shida
Kwamba mtu mweusi asili yake ni kuishi kiholela-holelaNa elimu yote hii ni ngumu kumtoa mtu mweusi kwenye asili yake
HakikaIf you fail to plan, you are planning to fail
Kuzidi taalumaKwamba uchawa ni mwingi kuliko kazi
Mwafrika hajawahi kuwa na akili timamu za kufanya planning, ndio mambo mengi watu hufanya kwa kuiga iga toka kwa binadamu wanaojielewa.Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini
Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa
Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile Kindondoni, kwa Kondo na Chang'ombe hakika ni mzaha mkubwa sana unafanyika, na hakuna cha kujifunza
Akili haikuishia hapo, nikatafakari namna tunavyoweka miji yetu kama vile Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Temeke, Tandika, Mbagala, Chamazi akili ikachoka kutafakari
Mimi nina maswali mawilii:
1. Je, tunao watu wa mipango miji?
2. Je, wapo hai au wamekwishanyongwa?
View attachment 3408709
Ngoja tuone kama Mwijaku na genge lake kama watatoboaKuzidi taaluma