Kwanini tunashindwa kupanga miji yetu. Hata kupanga makaburi imetushinda pia?

Nafikiri pepo ya wazungu yaweza kuwa tofauti na ile ya waafrika, au unasemaje?
 
Hizi tunazoita development plans, miaka 25 ya mipango na maendeleo, pamoja na mambo mengine ni ujinga tu. We cant attain sh!t wakuu.

Kuna miji midogo mingi inachipua, serikali hata kuona umuhimu wa kuwekeza namna nzuri ya kupangilia inashindwa. Goba, Madale, Salasala, Mbezi, Kwembe, Kibamba...nk ni maeneo yaliyotakiwa kuwa mazuri na ya kuvutia. Imagine miinuko ilivyo mizuri, tatizo ni upangiliaji...ona Beverly Hills ilivyo.
 
Kazi ya wakuu wa mikoa na wilaya ni kula na 💩tu
 
Mpango mji sio kipaumbele.
Huwezi kusikia msisitizo katika eneo hili.
Kupanga makazi ya wananchi ni ngumu kwani siasa nayo inaingia(utasikia kauli kama hizi"usiwatoe wapiga kura wangu",wache wananchi mlikuwa wakati wanavamia eneo hili" ,).
 
Asili haipotei... mwituni ndio kwetu.. ...hapo wanaona wamejitahidi..
Tinajaribu kuiga ... ..wasomi wa hivyo wapo na vyuo vipo lkn ndo vile tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…