Kwanini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Lissu na hatufanikiwi?

Ccm wananufaika wakiwa ikulu tu, wameiba Sana, wameua Sana, wana hofu wakitoka ikulu, ni jera inawasubili, uta wala wa ccm, ni watu wenye akili ndogo, wezi,
 
 
Lissu ajapata watu serious wa Kudeal nae.


Mkuu Lissu ni mtupu sana.


Na ajue kabsia huko sero anaposota sio salama kwa afya yake.

Narudia Lissu bado sio Threat ya kitisha
Unamzungumzia mtu aliyegoma kufa ujue. Halafu kinachotisha kwa sasa sio Lissu bali ni NO REFORMS NO ELECTION. Hili dudu linatisha balaa. Na kwa mwendo huu Reforms LAZIMA zitafanyika tu,liwake au inyeshe!
 
Ccm wananufaika wakiwa ikulu tu, wameiba Sana, wameua Sana, wana hofu wakitoka ikulu, ni jera inawasubili, uta wala wa ccm, ni watu wenye akili ndogo, wezi,
Na bahati mbaya ni kwamba kwenye haya maisha unachokihofia sana ndicho kitakachokutokea!
 
Sasa mama anatoa kauli mbofumbofu sijui hajui impact ya maneno, sasa hv wanawashikilia watu waliokuja kusikiliza kesi hajui kwamba Africa tunategemeana? Tanzania ilikuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi zingine za Africa zinapata uhuru so kuwashikilia kina Agatha kunaweza kuiletea shida nchi. Kwa kweli naichukia hii chama jaman, mimi sio mfuasi wa chama chochote ila nachukia ccm
 
Lakini safari hii Samia kafaninikiwa
 
Lissu ajapata watu serious wa Kudeal nae.


Mkuu Lissu ni mtupu sana.


Na ajue kabsia huko sero anaposota sio salama kwa afya yake.

Narudia Lissu bado sio Threat ya kitisha
Ni hivi ccm ina hali mbaya sasa kuliko kipindi chochote toka ianzishwe,kama Mwl Nyerere alipoondoka kwenye urais 1985,alisema kazi anayekwenda kufanya ni kuimarisha chama.
Alidai chama kinakufa na na aliziona nyufa nyingi tu wakati huo. Sasa wastaafu wa Sasa wanachojua Ni kuzurura tu huko nje.
Kifupi hata waliomo wanajua wanasafiri na boti inayovuja.
Toka tumeanza mfumo wa vyama vingi, ni mara ya kwanza eti Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama,anajipitisha mwenyewe kuwa mgombea kwenye mkutano mkuu tena kwa kuchomeka kiajenda ambacho hakikuwemo.
CCM adui yao siyo Lisu,Ni wana ccm wenyewe wasiokubaliana na ushenzi ilipofanyika mkutano mkuu.
Wafuasi wa Lisu ni zaidi ya wanachadema wenyewe. Kundi lililo nyuma ya lina wanaccm wengi kuliko Chadema.
Na siku zote anayepigwa vita sana jua kuna baraka kubwa sana nyuma yake.
Ni suala la muda tu. Hizo mbuga,bandari walizoziuza zitawatokea puani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…