Kwanini tunavaa pete ya ndoa mkono wa kushoto?

Zipo nchi nyingi tu zinazovaa pete za ndoa mkono wa kulia kama India, Urusi, Ujerumani, Poland, Hispania n.k sasa sijui unaposema "karibu dunia nzima" unamaanisha nini?
 
Kiukweli mkono wa kushoto unachukiwa Sana na Mimi Ni mhanga wa hizo chuki.
 
Zipo nchi nyingi tu zinazovaa pete za ndoa mkono wa kulia kama India, Urusi, Ujerumani, Poland, Hispania n.k sasa sijui unaposema "karibu dunia nzima" unamaanisha nini?
Ndio maana sijasema "dunia nzima", anyway vipi hilo suala lako la mkono wa kushoto kuwa najisi nalo ni nchi ngapi zinaamini hivyo, still huwezi kujadili suala ambalo ni utaratibu wa jamii nyingi duniani kwa kutumia dhana ya jamii moja
 
Kwakuwa ndoa ni jambo la kushoto

#KATAA NDOA
#NDOA NI UFILISI
#NDOA NI UTAPELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…