Kwanini Tunaweka 'double consonant' Katika Majina Yetu Ya Kibongo?

Sidhani kama hoja hapa ni kuwalazimisha kuandika majina bila hizo double latters
Hoja hapa ni mleta mada kutaka kujua kwanini ikawa hivyo
Mohamed Ali alipobadili jina alikua na sababu pia
Ni hulka ya binaadamu kujiuliza kila kitu kwanini ilikua hivi na sasa ikawa hivi, watu wanabadili dini kwa hiyari zao lakini kuna wataalamu wanatafiti kwanini watu wanabadili dini,makazi, jinsia nk

Hoja ya wao kuwa na uhuru wa kubadili watakavyo haiondoi uhalali wa watu kutaka kujua kwanini wakaamua kubadili
 
Human beings are innately predisposed to self improvisation, even self aggandizement, borrowing, etc.

Purists would look at that as un-African borrowing, while in fact even writing our names in Latin script is unAfrican borrowing, there are sounds in Afrivan languages that cannot be written in the Latin/ Roman script we use.
 
Mbona hilo lishajibiwa.

Kwa sababu majina ni yao, na kama majina ni yao wana haki ya kubadili yanavyoandikwa kwa jinsi wanavyotaka wao, ikiwa ni katika kuwa phonetic zaidi, kutilia mkazo au kuiga wazungu should not really matter to us ambao majina si yetu.
 
Na hili la wanzibar kurudia rudia jina imekaaje. Mfano Salim Ahmed Salim,Masoud Othman Masoud.
 
Na hili la wanzibar kurudia rudia jina imekaaje. Mfano Salim Ahmed Salim,Masoud Othman Masoud.

Hapo mtu kapewa jina la babu kama sikosei.

Baba Ahmed Salim kazaa mwana, kamuita jina la baba yake, Salim, mtoto anaitwa Salim Ahmed Salim.
 
Bottom line ni majina ni yao na wana haki ya kuyaandika vyovyote vile watakavyo au wapendavyo, pawe na sababu ya kufanya hivyo au la.
 
Uhuru wako wa kuamua chochote hauzuii watu kutaka kujua kwanini ukaamua hivyo...... Period
Kila jambo lina sababu zake na kama kwako hazina maana kunawengine wanajali
 
Uhuru wako wa kuamua chochote hauzuii watu kutaka kujua kwanini ukaamua hivyo...... Period
Kila jambo lina sababu zake na kama kwako hazina maana kunawengine wanajali

Kwa jambo ambalo sababu yake ya msingi ni uhuru wa mtu binafsi na jina lake kuchunguza zaidi ni kuvunja uhuru wa tu binafsj kuwa na faragha na jina lake.

Kila jambo lina sababu yake, hata kama sababu ni kutokuwa na sababu.
 
Kweli? Nikuingilia uhuru?
Watu wana hadi phd za majina na sababu zake
 
Ukweli ni kutaka hayo majina kuwa kama na muonekano wa kizungu,huo ndiyo ukweli.
 
Kwanza kabisa hayo ya kihaya hakuna jina lenye double consonant kwa sababu ukiweka hizo hayo majina yanapoteza maana yake ya kihaya. Hakuna Ruttashobya ni Rutashobya. Anaeweka kaamua kumodify jina lake kinyume na utaratibu wa kimila.
 
Kwa jambo ambalo sababu yake ya msingi ni uhuru wa mtu binafsi na jina lake kuchunguza zaidi ni kuvunja uhuru wa tu binafsj kuwa na faragha na jina lake.

[size=+2]Kila jambo lina sababu yake, hata kama sababu ni kutokuwa na sababu.[/size]

Inaelekea uwezo wako wa kufikiri umefikia tamati mkuu Kiranga!
 
Last edited by a moderator:
Kuziweka double consonants si tatizo. Kikubwa ni kama herufi husika zinatambulika na International Phonetic Association (IPA) kuweza kutumiwa kama sehemu ya International Phonetic Alphabet (IPA). Uwekwaji wa hizo 'phonemes' hauna madhara kwani ufasaha, uzuri na urembo wa Lugha yoyote upo kwenye matamshi (Phonology). Kwa maana ya kwamba uongezwaji ama double consonants huwezi usikia wakati wa matamshi (Pronunciation) na hauna madhara, unless, wrongly used/attached.

Sasa kwa Wenzetu wa kibongo wengi huweka hizo sounds for aesthetic /beauty purposes. Siyo dhambi kufanya hivyo. Dhambi, kwenye field ya lugha ni wrong and incorrect pronunciations hata kama lugha husika huijui. Lugha ni kama field ya sheria. Uwe umeisoma au hujaisoma, haimpi mzungumzaji freedom ya kui -misuse!!

Pia wapo wanaoweka double consonants kutokana na effects za kimatamshi ama kutaka urahisi wa kimatamshi from their Mother Tongue.

Ndiyo maana tunasema unlike Swahili language, there is no a one-to-one correspondence between orthography and pronunciation in English Language.
 
Jumanne anajiita Tuesday.....
Mwasiti inaandikwa Mwasitty.....Rama anajiita Ramsey....wabongo bwana....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwanza kabisa hayo ya kihaya hakuna jina lenye double consonant kwa sababu ukiweka hizo hayo majina yanapoteza maana yake ya kihaya. Hakuna Ruttashobya ni Rutashobya. Anaeweka kaamua kumodify jina lake kinyume na utaratibu wa kimila.

Angalau wewe umenipa mwanga kuliko huyu Kiranga!
Sipati picha ikiwa babu yangu alikuwa akiitwa Osaka, nami kwa sababu zangu zisizokuwa na sababu nikaamua kuongeza 's' nyingine ktk jina langu la tatu na kuitwa 'Ossaka'!
 
Last edited by a moderator:
Angalau wewe umenipa mwanga kuliko huyu Kiranga!
Sipati picha ikiwa babu yangu alikuwa akiitwa Osaka, nami kwa sababu zangu zisizokuwa na sababu nikaamua kuongeza 's' nyingine ktk jina langu la tatu na kuitwa 'Ossaka'!

You have no concept of individuality, you are part of a Borg.

I wouldn't expect you to understand the concept.

Nikijaribu kukupa mwanga sanasana nitakupofusha tu.
 
Last edited by a moderator:

Kwa nini unasema wabongo tumeiga kabla hujafanya uchunguzi ?, hacha fikra mgando hayo majina ndivyo yalivyo toka enzi na enzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…