Kwanini Tunaweka 'double consonant' Katika Majina Yetu Ya Kibongo?

You have no concept of individuality, you are part of a Borg.

I wouldn't expect you to understand the concept.

Nikijaribu kukupa mwanga sanasana nitakupofusha tu.

Nimeisha kuambia kuwa akili yako imefikia ukomo wa kufikiri wewe hutaki kukubali! Ona sasa umeanza kuroroja na kuropoka.
BTW, yule mtoto wako ulishampeleka kupimwa DNA ili uamini kuwa ni wa kwako? Maana wewe uamini chochote bila ushahidi wa kutosha.
 
Mtoto ulinizalia wewe au vipi?

Hata DNA unajua kwamba haina uhakika?
 
Si kuiga au sifa kama wengi wanavyodai. Majina kuwa na herufi mbili hasa 'S' na 'T' inatokana suala zima la matamshi. Kwenye lugha nyingi za kibantu hizo herufi hutamkwa kwa mtindo wa 'ulimi kuwa mzito'. Tamka Samatta, Sserenkuma, Ngassa au Lowassa.
 
Naona ukweli katika hoja yako. Kissa haiwezi kutamkwa sawa na kisa. Wakati mwingine inasaidia kuondoa utata, mf. ''Kissa ni mweupe ndio maana anaringa''. ''Kisa ni mweupe ndio maana anaringa''.
 
Mkuu kunna walle wanaoandikka ya kihivi;
Msetty, Ndumulakuwilly, Pilly, Manattie, Kisser (Kissa), Fundikiller,
 
Sitta
lowassa
ndio hiyvo hivyo tumezaliwa tumeyakuta

Hata yule Mangi wa Kichaga enzi zile za ukoloni alikuwa akiandika akiandika jina lake kama: [size=+2]Marealle?[/size]
 
"Kama tuna uwezo wa kufikiri na tunayapa maana matendo na vitu tutumiavyo kutokana na mahusiano yetu basi ni sahihi vitu na mambo hayo kubadilika jinsi mahusiano yetu yanavyokuwa na kubadilika kutegemea na watu tunaoishi nao, jinsi tunavyoishi nao na namna tunavyokutana nao"

Pamoja na majibu ya Kiranga kukataliwa na baadhi, kimsingi yuko sahihi na theory ya "Symbolic interactionism" iko upande wake kabisa na hoja zake zimo humo!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine hutumika kutofautisha na jina lingine lamaana hiyo kama mnafanana majina..
 
Mkuu wacha kutupiga kamba, Franswaa ni kwa kutamka ila linaandikwa Francoise

Joseph = Jose

Lauraa = Laurent

Peter = Piere
 
Hasheem Thabeet

Hashim alipata shida alivyokuja Marekani kwa Wamarekani kutamka jina lake, wengi wakawa wanalitamka kama "Hashaym", akaona isiwe tabu, nitawabadilishia liwe phonetic zaidi kwa mujibu wa mnavyoelewa nyie.

Akawa "Hasheem Thabeet", jina ambalo myamwezi akiliona tu inakuwa si vigumu kulitamka.

Sasa mtu kama huyo naye anaweza kufikiriwa kabadili jina kwa sababu ya kuiga Umarekani kumbe kabadili for some very practical reasons.

Na hata kama angeiga umarekani, kivyake. Jina lake, sio langu.
 
Do you have a reference for this?
 
Na tupende kuuliza wahusika wanavyotaka majina yao yaandikwe.Kuna mtu aliwahi nikosesha fursa kwa kiherehere chake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…