Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,120
Kuziweka double consonants si tatizo. Kikubwa ni kama herufi husika zinatambulika na International Phonetic Association (IPA) kuweza kutumiwa kama sehemu ya International Phonetic Alphabet (IPA). Uwekwaji wa hizo 'phonemes' hauna madhara kwani ufasaha, uzuri na urembo wa Lugha yoyote upo kwenye matamshi (Phonology). Kwa maana ya kwamba uongezwaji ama double consonants huwezi usikia wakati wa matamshi (Pronunciation) na hauna madhara, unless, wrongly used/attached.
Sasa kwa Wenzetu wa kibongo wengi huweka hizo sounds for aesthetic /beauty purposes. Siyo dhambi kufanya hivyo. Dhambi, kwenye field ya lugha ni wrong and incorrect pronunciations either kwa kujua ama kutokujua, respectively. Lugha ni kama sheria ; kutokuisoma ama kutoijua haikupi wewe uhuru ama mwanya wa kuiharibu. Pia wapo wanaoweka double consonants kutokana na effects za kimatamshi ama kutaka urahisi wa kimatamshi from their Mother Tongue.
Ndiyo maana tunasema unlike Swahili language, there is no a one-to-one correspondence between orthography and pronunciation in English Language.