Haki za watu zimeelezwa katika sheria, mtu akijua haki zake basi hata kumwonea inakuwa ni ngumu. Kutokana na namna watu walivyobambikiwa kesi, basi faraja kubwa ya wananchi ni kutaka kujua wapambane vipi zamu yao yao ikifika ya kubambikiwa kesi, hata mipango ya uchumi ina base zake katika sheria.Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Anagombea kuwa Jaji Mkuu wa TanzaniaNijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
We mtanzania wa wapi usiyejua kusini kupiga goti ni ishara ya unyenyekevu au ndo mnaishi kibelgijiMeko kupiga magoti vipi..!!
Sielewi anatuchukuliake watanzania... hata kama ndo kutafuta kuungwa mkono na nchi zilizotutawala lakini sio kiivyo hii ni aibu watanzania hatupo hiviLeo akiwa Mkoa wa Kilimanjaro, Lissu kaahidi kuhakikisha anairejesha Tanzania enzi za ukoloni. Nimemsikia na kumona akiongea hayo mwenyewe kupitia televisheni ya ITV, muda mchache uliopita. Hivi maisha ya ukoloni yalikuwa bora kuliko yale baada ya uhuru?
Yaani Lissu kwa uongo hajambo, anaongeza kuwa Wakati wa ukoloni mamlaka yalikuwa kwa wananchi! Mambo ya ajabu sana haya...! Na mwenyekiti wake wa Chama anaogopa 'kumfunga' Lissu kengele.
Umeangalia ITV acha kuruka madaUmefika darasa la ngapi au ndio wale wasomi wetu wanaosoma kwa kukariri