Kwanini tusiwe na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete, Dr Balal, Mzee Karume, Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato njema 😀
 
Nawatakieni Sabato njema [emoji3]
Kuna deepstate ya CCM ndo anafanya hiyo kazi.
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Yaani Wazenji tupu kasoro mmoja?!!
Tanganyika itapata tabu sana
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato njema 😀
Hata wahuni huzeeka pia
 
Back
Top Bottom