Kwanini tusiwe na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete, Dr Balal, Mzee Karume, Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo?

Kwanini tusiwe na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete, Dr Balal, Mzee Karume, Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo?

Hao wote watashauri mashauri yatakayolenga kustawi kwa mali zao walizoiba..Hakuna Msafi
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato nje
Kama ni kwa CCM peke yake sawa. Lakini kama ni kwa Taifa inabidi hilo baraza liwe na watu toka vyama na itikadi tofauti. Vinginevyo litakuwa baraza la wazee wa CCM.
 
hao watu washauri nini? wao wenyewe walikuwa failures kabisa
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato njema 😀
Hawa walioshinikiza kuvunjwa Katiba ya CCM kumpitisha Samia?
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato njema 😀
Hivi una akili sawasawa wewe? Hayo majambazi ndiyo yawe washauri!
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato njema 😀
HAkuna watu hapo
 
T
Ukiwa Nje ya Uongozi Ndio macho yanaanzaga kuona

Soma Toba ya Mkapa kitabuni kwake
Toba ambayo alikuwa anajua haitokuwa na athari yeyote katika maisha yake na maslahi yake. ???????!!!!
Toba za namna hizo zina faida gani kwa Nchi na kwa Wananchi wenyewe ????????!!!!

Toba inatakiwa iendane na ku-pay the price for what they did !

Kwanza kisheria mtu akiomba msamaha maana yake tayari ameshakiri kutenda makosa anayotuhumiwa nayo !

Watu waombe toba kwenye makosa yanayohusu familia zao maana huko watasamehewa 😳🙄 !
 
Unataka baraza la Wazee au la Viongozi waliostaafu ??!
Je Wazee hao wawe ni wale ambao ni very clean au wowote tu mradi tu walikuwepo uongozini ??!

Je ni Wazee wa kutoka Chama kimoja tu au kutoka Vyama vyote na Asasi zote ???!
Maswali ni mengi kabla ya hilo baraza. 😳👍 !
 
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo

Nawatakieni Sabato njema 😀
Waishauri ccm maana ndio chama chao.
 
Back
Top Bottom