johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr.Gharib Bilal.Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Balal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Nawatakieni Sabato njema π
Mods rekebisha heading tafadhaliDr.Gharib Bilal.
Kuna deepstate ya CCM ndo anafanya hiyo kazi.Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Nawatakieni Sabato njema [emoji3]
Ukiwa Nje ya Uongozi Ndio macho yanaanzaga kuonaLa nini kama wenyewe walichemka kwenye uongoz wao
Kwani wanazolipwa akina Dr Mwijaku zinatoka wapi? πΌNa pesa za kuwalipa zinatoka wap
Ila pesa anayolipwa mzee wa Umepoaa sio sawa na pesa utakayomlipa JK au PindaKwani wanazolipwa akina Dr Mwijaku zinatoka wapi? πΌ
Yaani Wazenji tupu kasoro mmoja?!!Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Kawaida sana πYaani Wazenji tupu kasoro mmoja?!!
Tanganyika itapata tabu sana
Sasa inatusaidia nini kutuumiza huku unajua halafu uje kutubu. Hao wote hawafaiUkiwa Nje ya Uongozi Ndio macho yanaanzaga kuona
Soma Toba ya Mkapa kitabuni kwake
Kwamba ulikosea unakuja kugundua ukishatoka πΌSasa inatusaidia nini kutuumiza huku unajua halafu uje kutubu. Hao wote hawafai
Hata wahuni huzeeka piaKama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Nawatakieni Sabato njema π
Na @kigogo2016 awemo barazaniKama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Nawatakieni Sabato njema π
Mbona hujamuweka Mzee WariobaKama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Nawatakieni Sabato njema π
Warioba hajawahi kupigiwa kura πMbona hujamuweka Mzee Warioba
Unaelewa maana ya kuiba?fisadi Kiwete ashauri nini? kuibia nchi?