Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Ni wazo zuri lakini umebagua wapo wastaafu viongozi wa upinzani,au wao siyo watanzania? Je siku ccm ukitoka madarakani livunjwe?
Nadhani hili halitakiwi kuwa na muelekeo wa chama bali Taifa