Kwanini tusiwe na maduka ya hadhi nchini ili mawaziri na viongozi wakubwa wasiagize kutoka nje ya nchi?

Huku ndo watu wanatajirikia kiongozi mtu anakafrem tu cha laki tatu lakini godown Ana Mali ya millions 300 .tra analipa kodi ya lakin 6 kwa mwaka
 
Kwa Sasa maduka hayo makubwa yaliyopo yanaitwaje.... Japo tukiwa tunapita nje ya hayo maduka tuwe tunnajua.... Haya maduka kwa ajili ya shopping za vigogoπŸ˜‹πŸ˜‚πŸ™ŠπŸ˜΄
Hayapo hapa Tanzania, ndiyo maana wanaagizia nje...
 
Wateja watapatijana tu, maana nguo za Kariakoo. Kama unapiga hesabu vizuri ni hasara sana na very expensive in long run.

Bora hata ununue shati laki lakini lidumu, kuliko kununua shati 20,000 halafu ukifua mara moja linapauka.
Nafuu nivae branded mtumba original kulikio counterfeit brand ya Kariakoo.
 
Nafuu nivae branded mtumba original kulikio counterfeit brand ya Kariakoo.
Hata mie msimamo wangu ndio huo, ronya za kariakoo zinakera ukifua mara nne tu ishapauka hata pasi haikubali tena
Mitumba ni bora sana ila kupata nguo sahihi lazima na muda uwe nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…