Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mbongo anaeingia labda sio mtanzania 🤣 au ni Diaspora[emoji2][emoji2][emoji2]Wabongo wapo wanaoingia bhana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbongo anaeingia labda sio mtanzania 🤣 au ni Diaspora[emoji2][emoji2][emoji2]Wabongo wapo wanaoingia bhana....
Watu wanavizia wakati wa kusafisha stoo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wallet yake tu..kuinunua kipengele....
Woolworth hao hapo...
Mtu hadi asubirie Sale[emoji1]
Labda kama wewe ndio unanunua. Sijaona mbongo wa kwenda kununua Tshirt kama ya mtumba kwa laki 😀😀😀Ndio kuna wabongo hununua
Huku ndo watu wanatajirikia kiongozi mtu anakafrem tu cha laki tatu lakini godown Ana Mali ya millions 300 .tra analipa kodi ya lakin 6 kwa mwakaBiashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.
Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi.
Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa zenye ubora mdogo zikipewa kipaumbele.
Matokeo yake ni kuibuka kwa wafanyabiashara wachache waliopo serious wanaokwenda kwenye masoko nchi jirani kuchukua bidhaa na kuziingiza nchini kinyemela kisha kuziuza kwa bei kubwa kwa wateja serious.
Upotevu huu wa mapato unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kodi nyingi, kukosekana kwa viongozi imara na sera mbovu.
Nchi nzima kuna maduka ya nguo za hadhi yasiyozidi kumi na mengi yanamilikiwa na mtu au kampuni moja. Kwanini tusiwasaidie Watanzania kufungua maduka yaliyopo kwenye ulimwengu wa kwanza hapa nchini?
Mawaziri na viongozi wengine wanaolipwa vizuri wanaenda kununua nguo nje. Kwanini badala ya kununua nje, wasitengeneze mazingira ya biashara kama ya nje? Tulitegemea kwa kuwa na bandari, watu wa madaraja yote wangeingia nchini kufanya biashara, ila sivyo. Tumebaki kutukuza vya Uturuki, Dubai na kadhalika.
Tubadili fikra.
Na kodi TRA watakukadiria kodi kwa mujibu wa muonekano wa duka lakoHayo maduka yenye brand yakiletwa huku, wateja ni wachache sana...
Hayapo hapa Tanzania, ndiyo maana wanaagizia nje...Kwa Sasa maduka hayo makubwa yaliyopo yanaitwaje.... Japo tukiwa tunapita nje ya hayo maduka tuwe tunnajua.... Haya maduka kwa ajili ya shopping za vigogo😋😂🙊😴
Genuine Kwa USD 30??30 Usd ni wastani wa shilingi 69,000 hata ukilipa kodi kama kitu ni genuine haiumi sana
Angalia na hakikisha bei nike.com online store ya nikeGenuine Kwa USD 30??
Nafuu nivae branded mtumba original kulikio counterfeit brand ya Kariakoo.Wateja watapatijana tu, maana nguo za Kariakoo. Kama unapiga hesabu vizuri ni hasara sana na very expensive in long run.
Bora hata ununue shati laki lakini lidumu, kuliko kununua shati 20,000 halafu ukifua mara moja linapauka.
Hata mie msimamo wangu ndio huo, ronya za kariakoo zinakera ukifua mara nne tu ishapauka hata pasi haikubali tenaNafuu nivae branded mtumba original kulikio counterfeit brand ya Kariakoo.