Kwanini tuzo za BET2020 hakuna msanii hata mmoja kutoka Afrika Mashariki?

Kwanini tuzo za BET2020 hakuna msanii hata mmoja kutoka Afrika Mashariki?

Mbona naskia alikiba Ameshachaguliwa na yumo kwenye vipengele kama 2 na wakina burna boy sema tu hajataka tu kutangaza yani show off hapendi yeye vitu vyake sio vya watanzania ni vya familia yake anaitafutia[emoji16][emoji106]
[emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kucheck orodha sijaona hata msanii mmoja kutoka nyumban na EA kwa ujumla, hii maana yake nini? Mziki wetu umeshuka? Au wasanii wetu washalizika? Au tuseme ushindani umezidi...

Majina ya wanaowania tuzo kwa wasanii kutoka Afrika;

Burna boy(Nigeria), Innos B(Congo), Sho madjiz(Afrika kusini), S.PRI Noir(Ufaransa), Ninho(Ufaransa),Dave(Uingereza) na stormzy(Uingereza)
Ulivyoandika kwamba hakuna wasanii kutoka EA ,nikahisi kuna wasanii wengi kutoka south, west na north kumbe upupu mtupu
 
Mbona naskia alikiba Ameshachaguliwa na yumo kwenye vipengele kama 2 na wakina burna boy sema tu hajataka tu kutangaza yani show off hapendi yeye vitu vyake sio vya watanzania ni vya familia yake anaitafutia[emoji16][emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najiuliza wale viewers bil 1 ni wa wapi mpk yeye asiwepo???[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom