Kwanini tuzo za BET2020 hakuna msanii hata mmoja kutoka Afrika Mashariki?

Mbona naskia alikiba Ameshachaguliwa na yumo kwenye vipengele kama 2 na wakina burna boy sema tu hajataka tu kutangaza yani show off hapendi yeye vitu vyake sio vya watanzania ni vya familia yake anaitafutia[emoji16][emoji106]
[emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Ulivyoandika kwamba hakuna wasanii kutoka EA ,nikahisi kuna wasanii wengi kutoka south, west na north kumbe upupu mtupu
 
Mbona naskia alikiba Ameshachaguliwa na yumo kwenye vipengele kama 2 na wakina burna boy sema tu hajataka tu kutangaza yani show off hapendi yeye vitu vyake sio vya watanzania ni vya familia yake anaitafutia[emoji16][emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayupo Davido, Wizkid,Simi,tiwa savage af mnashtuka nini ???? halafu huyo innoss ni nguvu ya mondi hapo hapo najua robidinyo atapinga.
Mbona huyo Mwenye Nguvu hayupo?
 
Najiuliza wale viewers bil 1 ni wa wapi mpk yeye asiwepo???[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…