Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Habari wanajamvi...
Bila kupoteza muda nidondoke kwenye mada yangu!!Imekua ni kawaida kuona TUZO zikianzishwa hapa Tanzania lakini hazidumu.Toka Tuzo za kilimanjaro Music Awards zilipopotea tulikaa muda mrefu kidogo bila kuwepo na tuzo hapo kati kati mpaka pale kituo cha EATV kilipoleta zile "EATV Awards" mwaka jana ilikua kama sijakosea!!
Wengi kama si wote tulikuwa tukitegemea kuziona tena TUZO hizo kwa mwaka huu na miaka mingine ijayo huku tukitarajia kuziona zinakua siku hadi siku lakini imekua tofauti na tulivotarajia!!Hakukuwa na matangazo ya kwanini labda zimeahirishwa jambo linalonifanya niseme zimekufa pia(Binafsi kwa upande wangu sikuona matangazo yoyote labda kwa wenzangu).
Ni sifa kwa wasanii wetu kutoka nje na kuleta Tuzo nyumbani lakini pia ni sifa kwa wasanii wa nchi za wenzetu kuja kwetu pia ku-experience kilichopo Tanzania lakini pia kupata ushindani!!
Kinaweza kikaonekana kama kitu kidogo lakini kina manufaa kwa upande mwingine, Nini sababu ya Tuzo zinazoanzishwa Tanzania kuishia njiani,kwa lugha nyingine kwanini hazidumu na kukua!!??