Kwanini TUZO zote za muziki zinazoanzishwa Tanzania zinakufa

Kwanini TUZO zote za muziki zinazoanzishwa Tanzania zinakufa

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Habari wanajamvi...

Bila kupoteza muda nidondoke kwenye mada yangu!!Imekua ni kawaida kuona TUZO zikianzishwa hapa Tanzania lakini hazidumu.Toka Tuzo za kilimanjaro Music Awards zilipopotea tulikaa muda mrefu kidogo bila kuwepo na tuzo hapo kati kati mpaka pale kituo cha EATV kilipoleta zile "EATV Awards" mwaka jana ilikua kama sijakosea!!

Wengi kama si wote tulikuwa tukitegemea kuziona tena TUZO hizo kwa mwaka huu na miaka mingine ijayo huku tukitarajia kuziona zinakua siku hadi siku lakini imekua tofauti na tulivotarajia!!Hakukuwa na matangazo ya kwanini labda zimeahirishwa jambo linalonifanya niseme zimekufa pia(Binafsi kwa upande wangu sikuona matangazo yoyote labda kwa wenzangu).

Ni sifa kwa wasanii wetu kutoka nje na kuleta Tuzo nyumbani lakini pia ni sifa kwa wasanii wa nchi za wenzetu kuja kwetu pia ku-experience kilichopo Tanzania lakini pia kupata ushindani!!
Kinaweza kikaonekana kama kitu kidogo lakini kina manufaa kwa upande mwingine, Nini sababu ya Tuzo zinazoanzishwa Tanzania kuishia njiani,kwa lugha nyingine kwanini hazidumu na kukua!!??
 
Tatizo watanzania wenyewe wote wamekufa, we fikiria bahari, maziwa, mito na mabwawa iliyojaliwa nchi hii. Yaani maji kila sehemu, lakini wanapanda ndege kwenda kununua samaki China. Kama sio wafu ni nini?
Aiseee kuna watu wanaenda kununua samaki nje??
 
Aiseee kuna watu wanaenda kununua samaki nje??

Kumbe we hujui? Serikali hii hii inaagiza samaki kutoka China. Ndio maana nakwambia watanzania wote wamekufa, imebaki misukule tu. Kazi kushangilia CCM wala hawajui kwasababu gani.
 
Mimi nime sikitika kwa kitukua na tuzo za EATV hawa jamaa walikuja vizuri...sijui hawajiani nawanacho fanya

EATV wange fanya marekebisho tu kidogo kwenye nomination baadala ya msanii kupendekeza mwenyewe wangeunda chombo cha kupendekeza wasani washiriki...(waige hata bet na mtv wanavyo fanya sio thambi)
EATV amken acheni kujikita kwenye uteam na beef za kijinga nyie mpo vizuri na mna support kubwa sana.
 
YESUUUUUIUUU nilikua sijui!!

You said it all...
 
Sawa mkuu...ila niliona hii kampeni ya hili neno clouds!!Walikua wakitoa ufafanuzi sana.Inamaanisha Bongo hawa jamaa wanaangushana wao kwa wao,sio???
Wamefanya sana ukaa kwa wenzao baada ya kuona inataka kuwatokea na wao ikabidi waanzishe ya kampeni ya kataa kuwa kaa
 
Wamefanya sana ukaa kwa wenzao baada ya kuona inataka kuwatokea na wao ikabidi waanzishe ya kampeni ya kataa kuwa kaa
Haha..Hawa Mawingu tuwaache.Nilisikia fununu wana plan za kuweka tuzo zao.How did it go??
 
According to response za watu wengi hapa seems "MAWINGU" wao ndio chanzo kikubwa cha anguko la hizi tuzo,Sio???
 
Mziki wenyewe tumeuua wenyewe kwa hizi team upupu Mbna Zamani Tuzo mfano za kili zilikuwa zinakubalika baada ya team upupu kila kitu mvurugano , Tuzo zinaandaliwa wasanii wanajifanya busy hawahuzurii siku ya tukio wanajifanya keki wanadharau Tuzo za ndani wakati bila kupata support ya ndani sijui kama huko nje wangetambulika

Mziki WA dance umekufa, Taarab imekufaa, Hiyo Bongoflavour inapumulia mashine watu wamebaki kuwaangalia Diamond na Kiba tu Hizo Tuzo zikiwekwa washindanishe wakina Nani Sasa........
 
Back
Top Bottom