Pre GE2025 Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na hasa kwenye ngazi ya Kanda.

Naomba sana Busara itawale ili Chama kisipasuke

Angalia mambo haya.





 
Ni ushahidi wa tatizo la ajira Tanzania, hao wote hakuna anayetaka kujishughurisha na mengine zaidi ya siasa.

Shida inaanzia bungeni wanayolipana mishahara ya kufuru.
Hivi Chadema nako kuna hela ?
 
Huyu mwanamke hanaga la kufanya zaidi ya kusifia chadema chama kisicho na matumaini ya kushika dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…