Pre GE2025 Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

Pre GE2025 Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na hasa kwenye ngazi ya Kanda.

Naomba sana Busara itawale ili Chama kisipasuke

Angalia mambo haya.

Acha ufala ni sanaa tu hizo za mwenyekiti aliyepo kuhakikisha yeye na watu wake wanabaki madarakani
 
Back
Top Bottom