Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au uchawi inakuwa shida na kelele nyingi??
Kwani kufanya matendo ya kiimani lazima uwe na dini inayotambulika?
Dini ngapi zinatambuliwa Tanzania?
Mbona waganga wa kienyeji wanapewa vibali vya kufanya uganga/uchawi/ushirikina??
Wekeni ulizi darasanu tujifunze piaUlozi bado haujatambulika kama dini..!
Wanasema nchi haina dini ila wananchi wana dini.Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au uchawi inakuwa shida na kelele nyingi??
Ni imani sawa lakini inaendana kinyume na mapenzi ya MUNGU na muda mwingine inavunja sheria za nchi... Na ndio maana serikalini imeukana uchawi kukwepa tuhuma kama hizi.Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au uchawi inakuwa shida na kelele nyingi??
Sio waganga wote huwa wanataka viungo vya binadamuNi imani sawa lakini inaendana kinyume na mapenzi ya MUNGU na muda mwingine inavunja sheria za nchi... Na ndio maana serikalini imeukana uchawi kukwepa tuhuma kama hizi.
Ni imani ambayo haina upendo wala hajui haki hivyo siyo ya kutegemea(corrupt system)
Hebu fikilia ili shida/jambo likamilike(lifanikiwe) vinahitajika vitu ambovyo upatikanaji wake lazima uvunje sheria au utende dhambi!
Mfano masharti yake unataka kiungo cha mtu(mkono nyeti kichwa). Ivi viungo unavipataje?
Mbona kuna wachungaji na masheikh wanadhuru watu kwa utapeli??Ndio maana huwa tunaambiwa uhuru lazima uwe na mipaka, huo uhuru wa kutaka kudhuru wengine ili wewe ufanikiwe kwa kisingizio kwamba nchi yetu ina uhuru ni upunguani, siku zote unaambiwa fanya unachotaka mradi usidhuru mtu wala usivunje sheria za nchi
Tupe mfano hai nini kilifanyika wakakataza.Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au uchawi inakuwa shida na kelele nyingi??