Kwanini uchawi/ulozi/ ushirikina unapigwa marufuku na kuharamishwa katika mpira Tanzania?

Kwanini uchawi/ulozi/ ushirikina unapigwa marufuku na kuharamishwa katika mpira Tanzania?

Tupe mfano hai nini kilifanyika wakakataza.

Kawani hufahamu kazi za kamati za ufundi?
Wewe hujawahi kusikia timu zinapigwa faini kwa kuonyesha vitendo vya kuashiria ushirikina??
 
Tuoneshe mfano hai, sitaki porojo.
Mechi namba 17
 
Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa,

Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au uchawi inakuwa shida na kelele nyingi??
Ukilristu na Uislam wamesajiliwa kama dini kupitia madhehebu yao mbali mbali. Hao wanaofanya ulozi na ushirikina hawana usajili ndiyo maana kelele zinakuwa nyingi.

Hata wewe unaweza kwenda kusajili dini yako ya uganga wa kishirikina na ulozi, Ukawa unafanya hizo mambo hakuna atakayekusumbua
 
Mkuu katiba inatoa uhuru wa kiimani bila kujali imani imesajiliwa au haijasajiliwa kama dini. Usajili ni kwa ajili kuratibu mambo ya kufanya mikusanyiko, ndoa na kodi. Watu binafsi wanaweza kufanya mambo yao ya kiimani hata kama imani yao haijasajiliwa kama dini.
 
Imani zote rasmi lazima zisajiliwe ili serikali iweze ku monitor la sivyo itakuwa vurugu
 
Imani zote rasmi lazima zisajiliwe ili serikali iweze ku monitor la sivyo itakuwa vurugu
Sio kweli mkuu, watu mbona wanafanya matambiko katika makabila mbalimbali wakati hakuna usajili wa dini/imani za kienyeji/matambiko nchini.
 
Sio kweli mkuu, watu mbona wanafanya matambiko katika makabila mbalimbali wakati hakuna usajili wa dini/imani za kienyeji/matambiko nchini.
Ndiyo maana serikali haizitambui na wakifanya hivyo kelele zinakuwa nyingi
 
Ndiyo maana serikali haizitambui na wakifanya hivyo kelele zinakuwa nyingi
Mbona serikali haikamati watu wanaofanya matambiko na pia viongozi wa serikali hufanyiwa matambiko hadharani kabisa??
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.View attachment 3159204
Stupid,badala ya kujibu hojja unaleta umama
 
Hiyo ni sheria ya Fifa mpira sio mali yako ji mali ya wenye nao
Wenye mpira wao ndio hawataki hivyo

Pili hata weweukifanya matendo hayo kwenye ofisi za uma au nyumba ya jorani yako utakumbana na mkono wa serikali,hayo mambo yafanyie kwako.

Kwa ufupi uchawi,ulozi,ushirikina ni ruksa ila usiwatishe wenzio kwa kufanya adharani
 
Wanasema nchi haina dini ila wananchi wana dini.
Nembo ya taifa ni ya Adamu na Hawa/Eva, hao bila ya imani au dini tungewajua?
Waafrika babu na bibi zetu waliamini kwenye hiyo mizimu, lakini haikutusaidia na tuliwezwa na kufanywa watumwa na kuwa makoloni ya hawa wenye imani nyingine, sasa kitu kikiwa hakikusaidii kwa nini uking'ang'aniye?
Na mpira ni mchezo unaohitaji uwezo na ujuzi wa kuucheza si hila na mbinu za kurogana ili upate matokeo. Na tatizo hili limezidi toka mpira kuwa ni moja ya chanzo cha mapato makubwa duniani, watu wanafanya lolote ili waweze kupata matokeo ikiwa pamoja na kufanya ulozi.
Nembo ya taifa siyo ya Adam na Hawa ni ya bibi na bwana
 
Hiyo ni sheria ya Fifa mpira sio mali yako ji mali ya wenye nao
Wenye mpira wao ndio hawataki hivyo

Pili hata weweukifanya matendo hayo kwenye ofisi za uma au nyumba ya jorani yako utakumbana na mkono wa serikali,hayo mambo yafanyie kwako.

Kwa ufupi uchawi,ulozi,ushirikina ni ruksa ila usiwatishe wenzio kwa kufanya adharani
Hiyo siyo sheria ya FIFA ni sheria ya TFF
 
Hiyo tisha toto tu, mchawi akifanya kazi yake huna macho ya kumwona. Ksms unsbidha muulixe jinni wa Arsis anayeujuwa uchawi nje ndani:

Inaaminika kwamba uchawi unaleta madhara katika jamii, ndo mana hata serikali imetunga sheria ya kupunguza vitendo vya kichawi..!
Si Serikali hiyo hiyo inasema hakuna Uchawi? Si Wasomi (hasa wa huku JF) wanasema Uchawi haupo? Sasa kutungia Sheria kitu ambacho hakipo si ni upumbavu huo?
 
Simba Mwaka juzi waliwasha moto uwanjani kule south africa unajua nini kilitokea,Caf waliwapiga fine
Walipigwa faini na CAF kwa kuwasha moto uwanjani, FIFA hawana sheria inayohusu ushirikina.
 
Walipigwa faini na CAF kwa kuwasha moto uwanjani, FIFA hawana sheria inayohusu ushirikina.
UnaxHekEsHa sana sheria zote za CAF zimebarikiwa au kupitishwa na FIFA,Fifa inasimamia michuano ya ngazi ya dunia,fuatilia kanuni zake ndio uje uongee hicho unachofikiri
 
Back
Top Bottom