Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo binafsi nadhani zinachochea hali hii:
1. Mwanamke akiolewa hubweteka sana maana kashapata kichaka cha kutunza heshima yake na hivyo hata handling ya mwanaume wake inakua tofauti ; ikija kwenye uchumba sugu uhalisia tofauti, mwanamke anajiona bado yupo pending na kama uchumba ni wa miaka basi bado kuna matumaini kwamba mshkaji atajitambulisha
2. Ndoa kwa asilimia kubwa huwa inahalalisha mwanamke kumsusia mwanaume majukumu mengi na mwisho wa siku mwanaume anaanza kujiona kama punda hasahsa akipata mwanamke ambaye sio mpambanaji (chuma ulete); katika uchumba sugu mwanamke kwa asilimia kubwa anajiepusha na mentality ya aina hii maana anajua kabisa anaweza kuchokwa na akapigwa kibuti
Kuna sababu nyingine wadau mnaweza kunisaidia?