Kwanini Uchumba Sugu unadumu kuliko Ndoa?

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo binafsi nadhani zinachochea hali hii:

1. Mwanamke akiolewa hubweteka sana maana kashapata kichaka cha kutunza heshima yake na hivyo hata handling ya mwanaume wake inakua tofauti ; ikija kwenye uchumba sugu uhalisia tofauti, mwanamke anajiona bado yupo pending na kama uchumba ni wa miaka basi bado kuna matumaini kwamba mshkaji atajitambulisha

2. Ndoa kwa asilimia kubwa huwa inahalalisha mwanamke kumsusia mwanaume majukumu mengi na mwisho wa siku mwanaume anaanza kujiona kama punda hasahsa akipata mwanamke ambaye sio mpambanaji (chuma ulete); katika uchumba sugu mwanamke kwa asilimia kubwa anajiepusha na mentality ya aina hii maana anajua kabisa anaweza kuchokwa na akapigwa kibuti

Kuna sababu nyingine wadau mnaweza kunisaidia?
 
Si bado hamjamilikiana, ndo mnamilikiana plus wivu wa watu, watu wanafurahia lakini mioyoni mwao wanawanenea mabaya muachane muuane, mpigane ndio maana ukiweza kufunga ndoa ya watu wachache au kisiri ni bora maana hata wachawi wanaotumia zawadi kuwapa wanaweza wasiwepo. Lakini kuna kuchokana piaa yaan kuizoea dudu jamani yaan labda niwe nawekwa napelekewa moto hadi nichoke si unajua utamu wake jamani
 
Kiimani zaidi: Shetani haoendi makubaliano rasmi ya ndio; anataka ya kishetashrmetani.
Kuna post :"Kama unataka kumwona shetani live funga ndoa"
 
Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo binafsi nadhani zinachochea hali hii:

1. Mwanamke akiolewa hubweteka sana maana kashapata kichaka cha kutunza heshima yake na hivyo hata handling ya mwanaume wake inakua tofauti ; ikija kwenye uchumba sugu uhalisia tofauti, mwanamke anajiona bado yupo pending na kama uchumba ni wa miaka basi bado kuna matumaini kwamba mshkaji atajitambulisha

2. Ndoa kwa asilimia kubwa huwa inahalalisha mwanamke kumsusia mwanaume majukumu mengi na mwisho wa siku mwanaume anaanza kujiona kama punda hasahsa akipata mwanamke ambaye sio mpambanaji (chuma ulete); katika uchumba sugu mwanamke kwa asilimia kubwa anajiepusha na mentality ya aina hii maana anajua kabisa anaweza kuchokwa na akapigwa kibuti

Kuna sababu nyingine wadau mnaweza kunisaidia?
Ushawahi kuona bibi kizee mchumba sugu? Acha kudanganya umma
 
Mwanadamu akisha jiwekea uhakika wa kumiliki kitu fulani ambacho kilikuwa kama ndoto yake ndipo anagundua kwamba kumbe hakina maajabu anakichukulia poa anaanza kutaka kingine.

Ndo maana mwanaume hupaswi kuendeshwa kihisia na mwanamke, Mwanamke akishaku-win hapo thamani imekwisha, Anapaswa kutamani kuolewa na wewe ila ibaki kama ndoto hapo kila siku atakuona mpya ila ukifunga ndoa tu😅
 
Kwa sababu Mwanamke anakua hajaolewa Bado Kwa Ndoa rasmi, hivyo anakua hana uhakika.
 
Back
Top Bottom