crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na NATO ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani??
ikizingatiwa kuwa ufaransa iliwahi kujitoa,ilikuwa na ulazima gani wa kurudi mara ya pili??
Ukizingatia pia zipo mbali kabisa na Urusi hivyo hakuna tishio la moja kwa moja la kuvamiwa kama ukraine, ni kwa nini zilifanya uamuzi huo ambao unawaathiri katika mambo yasiyo wahusu kama biashara??
Naomba wajuzi mnisaidie.