crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Yanayoendelea huko Ukraine yanapingana na ulichoandika.Ukweli ni kwamba Urusi wala sio kitisho kwa ulaya kabisa.ila propaganda za USA na kuwajengea hofu wala ulaya ili waione Urusi kama jirani mbaya.
Umesahau kumualika T14 ArmataYanayoendelea huko Ukraine yanapingana na ulichoandika.
Bila hata kualikwa niko hapa naona unavyopambana. Bahati nzuri ushasema mwenyewe kwamba Ufaransa iliwahi kujitoa kisha ikarudi, sasa jiulize kama ni propaganda na figisu za Marekani kuwepo kwa NATO mbona Ufaransa ilirudi baada ya kujitoa? Au Wafaransa ni wapuuzi hawana akili mpaka washawishiwe na Marekani.Umesahau kumualika T14 Armata
Hiyo Ufaransa unayosema ndio ilikombolewa na Waingereza na Wamarekani ilipovamiwa na Ujerumani. Sacrifice iliyotolewa na washirika wake ni kubwaUkweli ni kwamba Ufaransa na ujerumani Huwa hawapendi NATO TU kwa sababu ya USA .
Ukweli ni kwamba Ufaransa Huwa hapendi kuburuzwa na USA na hata ujerumani.
Ukweli ni kwamba Urusi wala sio kitisho kwa ulaya kabisa.ila propaganda za USA na kuwajengea hofu wala ulaya ili waione Urusi kama jirani mbaya.
Ufaransa iliwahi kua NATO ikajitoa kwa sababu ya US,lkn baadae ikarudi Tena .kipindi Cha Jaque chiraq.
Ujerumani Ina biashara kubwa sana na Urusi na hasa mradi huu mkubwa wa Nordsteam2 na biashara nyingine.
Hizi biashara ndio zinampasua kichwa USA akiona kua Urusi itafaidika na kua na nguvu za kiuchumi hatimae kijeshi.
Ufaransa ndio mpiga debe maarufu sana ulaya kuunda jeshi la ulaya (European Army)bila Marekani,lkn. Kikwazi ni Uingereza ambae ni mshirika mkubwa wa Marekani hapa chini ya jua.
Wanatamani sana kutoka kutoka NATO lkn USA na UK wanafanya fitina na vitisho sana ili NATO isivunjike.
Kwa kifupi NATO ni chombo Cha Marekani Cha kujilinda dhidi ya Urusi.
European army or EU army are terms for a hypothetical army of the European Union which would supersede the Common Security and Defence Policy and would go beyond the proposed European Defence Union. Currently, there is no such army, and defence is a matter for the member
Safi sana Mwamba umekuja.Bila hata kualikwa niko hapa naona unavyopambana. Bahati nzuri ushasema mwenyewe kwamba Ufaransa iliwahi kujitoa kisha ikarudi, sasa jiulize kama ni propaganda na figisu za Marekani kuwepo kwa NATO mbona Ufaransa ilirudi baada ya kujitoa? Au Wafaransa ni wapuuzi hawana akili mpaka washawishiwe na Marekani.
Tanzania kuwa SADC ni figisu za nani, au DRC kujiunga EAC ni propaganda za Tanzania. Kila nchi inaingia umoja inaotaka. Urusi nayo ianzishe alliance wajiunge kina North Korea au China
Sasa urusi anatatizo gani?Kwa kifupi hapa naona tatizo ni hili dude mrusi.
Kinachomgharimu urus ni kukataa kwake kuunga mkono harakat za supa pawa kibongeKwa kifupi hapa naona tatizo ni hili dude mrusi.
akili yako ni fupi ushazoea kupewa buku mbili uvae jez ya kijani unahis kila mtu ana akili km zako , kuwa member wa NATO haimaanish USA anakuwa na full influence kwako , huu mgogoro wa west na Urusi , Marekan kaukuta yeye kafuata mkumbo tu ila kwavile ss hv yy ni superpower watahis yeye ndo anauendesha kwa misingi yake huku mnasahau kuwa west hawatak tamaduni za kirusi ( kisiasa ) usienee kuja magharibo ya ulaya , hivyo uwepo wa Urusi ni sabab tosha ya Ufaransa kuwepo NATO , kinachomkuta Ukraine kingemkuta hata Ufaransa angejitegemea kiusalama , wenzio waliyaona haya miaka ya 1940 ila ww mwaka 2022 huyajui bado unamshabikia mvamiz et unamuita mkomboz kwa kumega majimbo ya nchi dhaifu km nchi yako ,hujui kuwa kesho yaeza kuwa zamu yako.Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na nato ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani??
ikizingatiwa kuwa ufaransa iliwahi kujitoa,ilikuwa na ulazima gani wa kurudi mara ya pili??
ukizingatia pia zipo mbali kabisa na urusi hivyo hakuna tishio la moja kwa moja la kuvamiwa kama ukraine, ni kwa nini zilifanya uamuzi huo ambao unawaathiri katika mambo yasiyo wahusu kama biashara??
Naomba wajuzi mnisaidie.
Urusi yumo kwenye BRICSBila hata kualikwa niko hapa naona unavyopambana. Bahati nzuri ushasema mwenyewe kwamba Ufaransa iliwahi kujitoa kisha ikarudi, sasa jiulize kama ni propaganda na figisu za Marekani kuwepo kwa NATO mbona Ufaransa ilirudi baada ya kujitoa? Au Wafaransa ni wapuuzi hawana akili mpaka washawishiwe na Marekani.
Tanzania kuwa SADC ni figisu za nani, au DRC kujiunga EAC ni propaganda za Tanzania. Kila nchi inaingia umoja inaotaka. Urusi nayo ianzishe alliance wajiunge kina North Korea au China
rudi form 3 kasome historia tena upo shallow sn , Ufaransa na ujeruman hawaikubali urusi hata kdg mbali na biashara , na ndio maana wapinzan wengi wa Urusi wanakimbiliaga Ujeruman au Ufaransa na sio UingerezaUkweli ni kwamba Ufaransa na ujerumani Huwa hawapendi NATO TU kwa sababu ya USA .
Ukweli ni kwamba Ufaransa Huwa hapendi kuburuzwa na USA na hata ujerumani.
Ukweli ni kwamba Urusi wala sio kitisho kwa ulaya kabisa.ila propaganda za USA na kuwajengea hofu wala ulaya ili waione Urusi kama jirani mbaya.
Ufaransa iliwahi kua NATO ikajitoa kwa sababu ya US,lkn baadae ikarudi Tena .kipindi Cha Jaque chiraq.
Ujerumani Ina biashara kubwa sana na Urusi na hasa mradi huu mkubwa wa Nordsteam2 na biashara nyingine.
Hizi biashara ndio zinampasua kichwa USA akiona kua Urusi itafaidika na kua na nguvu za kiuchumi hatimae kijeshi.
Ufaransa ndio mpiga debe maarufu sana ulaya kuunda jeshi la ulaya (European Army)bila Marekani,lkn. Kikwazi ni Uingereza ambae ni mshirika mkubwa wa Marekani hapa chini ya jua.
Wanatamani sana kutoka kutoka NATO lkn USA na UK wanafanya fitina na vitisho sana ili NATO isivunjike.
Kwa kifupi NATO ni chombo Cha Marekani Cha kujilinda dhidi ya Urusi.
European army or EU army are terms for a hypothetical army of the European Union which would supersede the Common Security and Defence Policy and would go beyond the proposed European Defence Union. Currently, there is no such army, and defence is a matter for the member
Georgia , Ukraine , Finland na Moldova hujasikia chochote?Sasa urusi anatatizo gani?
Nadhani western wakijingalia wanajiona tudogo wakijilinganisha na urusi ndio maana wanahangaika.Sasa urusi anatatizo gani?
Kaangalie tatizo lilikuwa niniGeorgia , Ukraine , Finland na Moldova hujasikia chochote?
Ukweli ni kwamba Ufaransa na ujerumani Huwa hawapendi NATO TU kwa sababu ya USA .
Ukweli ni kwamba Ufaransa Huwa hapendi kuburuzwa na USA na hata ujerumani.
Ukweli ni kwamba Urusi wala sio kitisho kwa ulaya kabisa.ila propaganda za USA na kuwajengea hofu wala ulaya ili waione Urusi kama jirani mbaya.
Ufaransa iliwahi kua NATO ikajitoa kwa sababu ya US,lkn baadae ikarudi Tena .kipindi Cha Jaque chiraq.
Ujerumani Ina biashara kubwa sana na Urusi na hasa mradi huu mkubwa wa Nordsteam2 na biashara nyingine.
Hizi biashara ndio zinampasua kichwa USA akiona kua Urusi itafaidika na kua na nguvu za kiuchumi hatimae kijeshi.
Ufaransa ndio mpiga debe maarufu sana ulaya kuunda jeshi la ulaya (European Army)bila Marekani,lkn. Kikwazi ni Uingereza ambae ni mshirika mkubwa wa Marekani hapa chini ya jua.
Wanatamani sana kutoka kutoka NATO lkn USA na UK wanafanya fitina na vitisho sana ili NATO isivunjike.
Kwa kifupi NATO ni chombo Cha Marekani Cha kujilinda dhidi ya Urusi.
European army or EU army are terms for a hypothetical army of the European Union which would supersede the Common Security and Defence Policy and would go beyond the proposed European Defence Union. Currently, there is no such army, and defence is a matter for the member
Sasa urusi anatatizo gani?