Kwanini ufue chupi chimbo halafu ukainike hadharani

Kwanini ufue chupi chimbo halafu ukainike hadharani

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Niajabu waswahili tunatabia kufua chupi kwa siri yale maji ya mwishoo bafuni. baada ya kuoga afu tunaenda kuanika hadharani kama chupi ni siri sirini kwanini baada kuifua utuonyeshe anika chimbo uko uko na ikichakaa unachoma kimya kimya vya siri vibaki siri.

Yalionikuta leo mpaka ya punda imelala ni hayo tu
 
Hivi kuna watu bado wanavaa chupi?
 
  • Thanks
Reactions: 5ty
Niajabu waswahili tunatabia kufua chup kwa siri yale maji ya mwishoo bafuni. baada ya kuoga afu tunaenda kuanika hadharani kama chupi ni siri sirini kwanini baada kuifua utuonyeshe anika chimbo uko uko na ikichakaa unachoma kimya kimya vya siri vibaki siri... yalionikuta leo mpaka ya punda imelala ....ni hayo tu
Si zimekuwa safi au unataka chafu ili upate mchuzi wake au
 
Wengi nadhani huogopa maji yaliyotumika kutoonekana, waeza kuta rangi ya maji imechange mbaya mbovu wakati umefua kachupi tu, bukta au boxer..
 
Inategemeana na mazingira uliyopo...

Uswazi kuanika chupi kwenye uwazi ni fashiona yao...

Ila ushuani hutaona chupi kwenye kamba...
 
Hata mimba unaipata sirini kisha tumbo linaonekana hadharani
Tena wiki lapili lamwisho Bora tumbo kuonekana kipindi Hiki hata ilipoingilia tumbo panakuaga wazi kilakitu kizito kwambeba tumbo ,mwanakijiji mwanazengo habari hanaga kabisa kwamba angeweza kumvalisha mwezake ,lenyewe kusubiri mtoto wake tu ndomana hua wanatukazia tusipoacha Kodi yakichwa
 
Hata tabia ya kuosha vyupi kwa maji ya mwisho baada ya kuoga ni tabia ya hovyo. Hapo jambo la msingi andaa maji mengine safi na mengi, ifue hiyo kyupi kwa muda reasonable na sio unapakapaka sabuni na kukamua huo ni zaidi ya uchafu extraordinary.

Halafu watu wajitahidi wasiwe wanavaa vyupi viwili kwa wiki huo ni zaidi ya uhuni na uchafu wa hali ya ajabu, ukichukua harufu ya voo.z(i), jasho la sehemu za siri,misuguano ya nguo na kyupi yaani shombo la hapo ni zaidi ya dampo.

Jambo la msingi kutokana na bei ya vyupi kuwa ndogo jitahidi uwe nazo hata saba unavaa moja moja kila day, sababu ya msingi ni usafi. Soksi na vyupi ni vitu rahisi sana kuvifua kama wewe ni me husije hata siku moja kumtupia mkeo hayo majukumu ,jifunze kuwa msafi wewe mwenyewe.

Jambo la mwisho tujitahidi kuwa wasafi kwakuoga na at least usiwakere wenzio na harufu za mdomo, kyupi soksi, na harufu nyingine nyingi za hovyo hovyo.

©2021
 
Back
Top Bottom