MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
KWA NINI UFUGE KWARE NA SIO WANYAMA AU NDEGE WENGINE WADOGO
Wakati unafikiria kufuga wanyama wadogo wadogo kwa ajili ya nyama na pengine mayai fikiria faida na hasara zifuatazo:
Sili (Guinea pigs) hawa wanalishwa majani tu, hawana harufu na ni rahisi kufuga. Wanatoa nyama ya kuweza kutosha mlo wa familia. Kwa upande mwingine wanakua polepole kuliko kwale na pia hawatagi mayai.
Njiwa (Pigeons) Wanaweza kufugwa sehemu ndogo sana hata juu ya paa. Wanakula chakula kidogo sana , wanaweza kuokoteza wenyewe. Wanaangua mara kwa mara. Wanahitaji uangalizi mdogo. Kwa upande mwingine hawatagi mayai kiasi cha kutosha matumizi.
Kuku (Chickens) Ni wazuri na wanaweza kufugwa maeneo mengi. Lakini huhitaji nafasi kubwa kuliko kwale wanavyohitaji na pia hawatagi mpaka wawe na umri wa miezi kuanzia mitano na kuendelea.
Sungura (Rabbits). Hawa huzaliana haraka na kwa urahisi lakini huhitaji nafasi kubwa kuliko kwale na hawatagi.
Bata (Ducks) Baadhi yao huzaliana sana na ni rahisi kuwatunza lakini wanahitaji nafasi kubwa ya kutosha. Ni wachafu sana wakiwekwa eneo dogo.
Kwa muda mchache utatengeneza kipato kizuri kwa kuuza mayai. Lakini hii inategemea namba ya ndege wanaotaga kwa sababu kama ni wengi, mayai pia yataongezeka. Utakapo wauza wale wanaotaga kwa shilingi 25,000- 30,000 au wanaoanza kutaga sh 18,000- 20,000 Mwisho wa mwezi utautengeneza kipato kizuri.
Pamoja na hayo utafanya afya ya familia yako kuwa nzuri. Ukilinganisha kwale na ndege wengine, kwa mfano kuku utakuta kwamba kuku mmoja anatumia gramu 150 za chakula kwa siku. Ambacho kinaweza kulisha kwale saba.
kwa taarifa zaidi temblelea MAKURA INVESTMENT BLOG
https://www.facebook.com/makurainvestment
email: rumishanjau@gmail.com
simu: 0713-683422.